GE2025 Samia Suluhu afunga comments, Wapiga kura wake Milioni 31, watampongeza wapi?

GE2025 Samia Suluhu afunga comments, Wapiga kura wake Milioni 31, watampongeza wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kenya wanamdhihaki kweli,update 98% ya kura halafu uapishiwe kwenye kibaraza?kwanini isiwe uwanja wa taifa
 
Kuna mwenyekiti alikimbiza mabox ya kula ndani kwake anayo hadi leo na eneo lake limeyangazwa matokea 🤣🤣🤣
Kweli uchawa unaua taifa, sasa tume kummwagia kura zote hizo ili iwe nini!? Kumfurahisha, hiyo si kujidanganya tu na kucement madai ya watu kwamba tume haina uhuru wowote. Kama hajajua uhalisia wa kura alizopigiwa, ameridhishwa na kupikwa kwa kura na tume basi miaka mitano kuanzia sasa tuna safari ndefu.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Anawakimbia 97.66% waliompa kura, yaani 2.34% inqmkimbiza kuapishwa uwanja wa Lipaso?
 
Ana miaka ya taabu na mateso mengi! Mpaka 2030 akitoboa, basi atakuwa ananuka damu mwili mzima.
 
Back
Top Bottom