Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
huyu mama anaongoza kwa kutoa ahadi sijui kama atazikumbuka
daraja la kigamboni ni pesa zetu kama sikosei nssf ni 60% an serikali 40% kama sijakosea, nakubaliana na wewe alianzia kuuza kahawa, lakini miaka 50 bado tunaanza tu, ina maana mtoto anatambaa miaka 50, nimeshangaa kusikia kenya wako ulimwengu wa 2, wanatuzidi nini wakenyazitapatikana tu,uwe na subira,,,kama wameweza kujenga daraja kigamboni na bomba la gesi,hata hili watafanikiwa tu,,maendeleo hayaji kwa siku moja,,hata bakhresa kaanzia kuuza kahawa,maandazi na kashata..
Huyu mama kila anakopita anamwaga ahadi kama hana akili nzuri,JK cha mtoto kwake
Kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu 
Hahaha huyo maza hashindwi kusema tutachimba mito ili kufanikisha kilimo cha umwagiliaji [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hii ahadi ya kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu ndo iliniacha hoi :twitch:
dodoma maji tu ni ya shida, hayo ya kumwagilia mibuyu sijui yanatoka wapi
au ataleta na mito kufanikisha hicho kilimo
Hiyo mibuyu yenyewe ili itoe matunda sidhani kama ni chini ya miaka kumiHahaha huyo maza hashindwi kusema tutachimba mito ili kufanikisha kilimo cha umwagiliaji [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]