Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Kwa hiyo watu wa Bukoba wamechinjiwa ziwani,,, JK aliahidi meli kubwa kuliko Mv Bukoba amemaliza miaka 10 haipo na katika alizotaja huyo mama watu wa BK WAMEKATWAAAA
walikuwa wakisema nchi haina hela, sasa hii hela ya hizo ahadi zilizoahidiwa zitapatikana wapi?
zitapatikana tu,uwe na subira,,,kama wameweza kujenga daraja kigamboni na bomba la gesi,hata hili watafanikiwa tu,,maendeleo hayaji kwa siku moja,,hata bakhresa kaanzia kuuza kahawa,maandazi na kashata..
Huyu mama ana macho kama ya Faizafoxy.
HAHAHA huyu mama ni zaidi ya tatizoamesema pia watafanya sensa ya samaki na dagaa wote kwenye lakes na bahari ya hindi ili kuzuia uvuvi haramu
walikuwa wakisema nchi haina hela, sasa hii hela ya hizo ahadi zilizoahidiwa zitapatikana wapi?
Kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu 😂😂😂😂😂😅😅😅😄Huyu mama kila anakopita anamwaga ahadi kama hana akili nzuri,JK cha mtoto kwake
Kwa hiyo watu wa Bukoba wamechinjiwa ziwani,,, JK aliahidi meli kubwa kuliko Mv Bukoba amemaliza miaka 10 haipo na katika alizotaja huyo mama watu wa BK WAMEKATWAAAA