Samia ndio Rais Pekee Aliyetoa Ajira Nyingi Zaidi katika Historia ya Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,080
Reaction score
84,965
Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania.

Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La Mungu. Atoa Kibali kingine cha Ajira Elfu 41,500 | JamiiForums Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La Mungu. Atoa Kibali kingine cha Ajira Elfu 41,500

Jakaya alitoa Ajira lakini Mama Samia ametisha sana aisee.

Hapa ndipo Ile Kauli ya Nabii haikubaliki nyumbani inabamba.

View: https://www.threads.com/@kajenjere_media/post/DU2lnjmjHpD?xmt=AQF0tPTE_eb0qsmuIoJPoLsTjbr5715pvG3cnoP8bEAw7skMZXAq8sCKZPNkpsnvcGYannI&slof=1
 
Ng'ombe, pamoja na WA Tanzania kuwa 62m ,Bado watumishi wa serikali ata laki 7 hawafiki,,,
 

uko sahihi 100% gentleman,
well done Dr.Samia Suluhu Hassan
 

Faki zati bichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…