Unajuaje kama wahuni hawakukimbilia huko? Mbona mikoa mingi kama Katavi, Njombe au Sumbawanga hawakupigwa risasi? Umelianzisha unalimaliza mwenyewe. Mbona wewe hujapigwa risasi mpaka sasa hivi unapiga mikwala humu jf? Vibaka wanaoiba vitu vidogo mnawachoma moto...kima nyie mlitaka polisi wawaangalie tu ili waanze kuja kutubakia watoto na wake zetu ndani?Waliopigwa risasi majumbani mwao, na wale vijana waliokuwa wanaangalia mechi ya Arsenal kibanda cha mpira na kupigwa risasi je walichoma miundo mbinu ipi?
-
💔Hatuwajui wote kwa majina, lakini tunawajua kwa uzito wa kilichotokea. Amani iwe juu yao.🙏
Karibu na wewe, ili uongeze idadi ya roho zitakazomlilia!Atakuja kufa kifo kibaya sana huyo shetani wenu. Roho zote alizoziondoa hapa duniani kwa uonevu na ukatili mkubwa, zitakuwa zinamlilia tu kwenye kila kona wa kaburi lake.
1. Ushahidi wa mauaji kwa watu wasiohusika na maandamanoTatizo mnaacha kiini ...kwani aliyeanzisha ni nani? Waliokufa wasingeenda kuchoma miundombinu na kustorm Mali za watu Leo wangekuwa hai kama wewe hapo ( maana najua hukuthubutu kuandamana live tofauti na kuandamana kwenye keyboard )
Walikuwa wanatafuta nini eneo la maandamano? Kwani walioandamana waliwekwa alama maalum ya utambuzi? Haya najua utanambia walifuatwa majumbani...mbona wewe hukufuatwa wakumalize ? Acheni propaganda next time Mange asiwashikie akili roho haina spare
Thread 'Sheikh Sharifu Majini amezikwa leo Novemba 5 makaburi ya Kisutu, baada ya kupigwa risasi oktoba 29'Walikuwa wanatafuta nini eneo la maandamano? Kwani walioandamana waliwekwa alama maalum ya utambuzi? Haya najua utanambia walifuatwa majumbani...mbona wewe hukufuatwa wakumalize ? Acheni propaganda next time Mange asiwashikie akili roho haina spare
Yatakukuta tu, uzuri ni kwamba waliofanya mauaji hawakuangalia huyu ni chawa au sio chawa, huyu kada wa CCM ama sio kada wa CCM, bali walifyatua risasi kwa yeyote yule wanayemuona mbele yao. Ndio maana haiwezi kushangaza kusikia mtangazi wa Clouds, ama shekh Sharif ambaye alipiga dua zito na vijana wake kabla ya uchaguzi kwaajili kumuombea SSH akiishia kupigwa risasi. Hakuna aliye salama kwasasa endelea kuona waliokufa ni wajinga na wahalifu.Unajuaje kama wahuni hawakukimbilia huko? Mbona mikoa mingi kama Katavi, Njombe au Sumbawanga hawakupigwa risasi? Umelianzisha unalimaliza mwenyewe. Mbona wewe hujapigwa risasi mpaka sasa hivi unapiga mikwala humu jf? Vibaka wanaoiba vitu vidogo mnawachoma moto...kima nyie mlitaka polisi wawaangalie tu ili waanze kuja kutubakia watoto na wake zetu ndani?
Kwani wewe ni kada? Mbona hujafa ...jibu ni hukuthubutu kutoa pua nje ulijificha baada ya kukoleza Moto mitandaoni 😭 huku ukijua fika wale waliopata zero necta wataingia mkenge , wakachome Mali za watuYatakukuta tu, uzuri ni kwamba waliofanya mauaji hawakuangalia huyu ni chawa au sio chawa, huyu kada wa CCM ama sio kada wa CCM, bali walifyatua risasi kwa yeyote yule wanayemuona mbele yao. Ndio maana haiwezi kushangaza kusikia mtangazi wa Clouds, ama shekh Sharif ambaye alipiga dua zito na vijana wake kabla ya uchaguzi kwaajili kumuombea SSH akiishia kupigwa risasi. Hakuna aliye salama kwasasa endelea kuona waliokufa ni wajinga na wahalifu.
-
💔Hatuwajui wote kwa majina, lakini tunawajua kwa uzito wa kilichotokea. Amani iwe juu yao.🙏
Siyo kwamba nikukaribishe kwanza wewe chawa wake ili uwe roho yangu ya kwanza kunililia, kabla ya kuongeza roho ya pili kwa huyo shetani wako!Karibu na wewe, ili uongeze idadi ya roho zitakazomlilia!
In short,Siyo kwamba nikukaribishe kwanza wewe chawa wake ili uwe roho yangu ya kwanza kunililia, kabla ya kuongeza roho ya pili kwa huyo shetani wako!
Siyo kwamba nikukaribishe kwanza wewe chawa wake ili uwe roho yangu ya kwanza kunililia, kabla ya kuongeza roho ya pili kwa huyo shetani wako!
Justification yako niya kijingaRoho gani kaziondoa?..mkapa aliondoa roho ngapi mwembechai na pemba?..magu aliondoa roho ngapi?..walikufa vibaya?
Safari ijayo maduka yenu yataachwa. Ila nyinyi wenyewe na familia zenu ndiyo mtakuwa the most wanted. Mdogo mdogo mpaka tutaheshimiana tuIn short,
Kila serikali duniani hutambua maandamano! Na chadema imewahi kufanya hayo maandamano kila mkoa!
Lakini hakuna serikali inaweza waonyesha meno wavamizi, vibaka na waharibifu wa mali za umma! Kama kuna serikali kama hyo duniani basi ni takataka ya serikali..
Basi kavunje tena hayo maduka!