PostGE2025 Samia: Hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.

Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."

“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.

Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar Dkt. Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."

“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Kuridhiana kitu gani?
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.

Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."

“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Hatua za uundaji katiba mpya zipo hatua ipi?
 
Ni bahati mbaya sana serikali pamoja na viongozi wake wamejizima data kutambua na kukiri matatizo ya nchi ni yapi na nini kinatakiwa kufanyika. Mambo wanayoongea na kupanga hayaendani na matatizo yaliyopo. Yaani wanafanya kila njia kukwepa ukweli.

Inawezekana watafanikiwa maana rasilimali zote wanazo wao, kuanzia pesa, watumishi wa umma, media zote, mahakama, vyombo vya UnU na vyombo vingine vyote vya ushawishi ila ni bahati mbaya sana kwamba wameamua kuukimbia ukweli kwa gharama yoyote ile.
 
Back
Top Bottom