ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,974
- 89,233
Haina maana tena? Umesomea components zake?Hii haina maana.
Sina tatizo sana na ujenzi ukiwa umelenga kuboresha mambo, nina tatizo kubwa mnoo na hilo jina la Samia complex. Huku ni kulazimisha legacy kwa kujipendelea. Hayo majina wapewe viongozi waliokufa na waliobeba hayo maono.Ikulu haijakamilika ujenzi unaendelea,this time around ni Samia Complex
Haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.Haina maana tena? Umesomea components zake?
Wala usiwaze wataita jina lako ππSina tatizo sana na ujenzi ukiwa umelenga kuboresha mambo, nina tatizo kubwa mnoo na hilo jina la Samia complex. Huku ni kulazimisha legacy kwa kujipendelea. Hayo majina wapewe viongozi waliokufa na waliobeba hayo maono.
Kwani ujenzi wa Ikulu umekamilika Kwa hiyo ofisi pekee? Ikulu ya Dar Ina ofisi tuu?Haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.
Majina yake mengine Yako wapi?Kila kiongozi anataka aache majina yake kila Kona
Mama hana anachojua huyu. Ikulu imegeuka kuwa pango la wanyang'anyiKwani ujenzi wa Ikulu umekamilika Kwa hiyo ofisi pekee? Ikulu ya Dar Ina ofisi tuu?
Chuki plus ujinga ndio vinakusumbua π€£π€£
Ndio hivyo wewe unajua unatakaje au ndio unajamba hovyo Kwa kushinda maharage huko uliko? ππMama hana anachojua huyu. Ikulu imegeuka kuwa pango la wanyang'anyi
Chawa pro huna unachojua zaidi ya kusifia.Ndio hivyo wewe unajua unatakaje au ndio unajamba hovyo Kwa kushinda maharage huko uliko? ππ
Nani Alimshauri Jiwe aite Mji wa Serikali Mtumba Magufuli City?Kweli remote ipo msoga.amemshauri auite jina lake kama alivyofanya yeye ule wa magogoni kuitwa jina lake.pesa ni zetu lakini mnajipachika majina yenu pasipokutuuliza sisi wananchi.kwa nini usiitwe ukumbi wa ikulu?
Wewe kunguni pro unajua nini zaidi ya kulamba lolo Ili uishi?Chawa pro huna unachojua zaidi ya kusifia.
Bado Mimi Na Wewe TuKila kiongozi anataka aache majina yake kila Kona
Mabango kila barabara yamejaaMajina yake mengine Yako wapi?