Samia amebaki na wakina nani serikali mbona kituko?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Kipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje

Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same

Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe.

Ndalichako
Kabudi
Kijazi
Mfugale
Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu wazima kwa vijana walipiga kazi.

Sasa waziri mkuu na Makamo wa Rais wanamkimbia!!

Sasa Samia mawaziri wake hawaeleweki

Wasaidizi wake hawaeleweki

Anachukua tu vibabu wenye Umri wake ndio hao wanamkimbia.

Tatizo Nini maana yake baada ya uchaguzi serikali itaongozwa na magenge ya wafoji vyeti na wauni wengine Kama wakina Bashite, sabaya, chief Godlove, hamonaze, shilole na madj?

Serious kabisa mnategemea accountability hapa

Samia must go!!
 
Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wapo hadi atakapounda Baraza Jipya la Mawaziri. Pia ujue CCM ina hazina ya wanachama wa kutosha kuweza kushika hizo nafasi vizuri sana. Mwaka 2015 Mwamba Magufuli alipomteua Mh. Majaliwa kuwa PM ulikuwa unamjua? Alikuwa Naibu Waziri tu! Just imagine!!
 
Kipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje

Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same

Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe.

Ndalichako
Kabudi
Kijazi
Mfugale
Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu wazima kwa vijana walipiga kazi.

Sasa waziri mkuu na Makamo wa Rais wanamkimbia!!

Sasa Samia mawaziri wake hawaeleweki

Wasaidizi wake hawaeleweki

Anachukua tu vibabu wenye Umri wake ndio hao wanamkimbia.

Tatizo Nini maana yake baada ya uchaguzi serikali itaongozwa na magenge ya wafoji vyeti na wauni wengine Kama wakina Bashite, sabaya, chief Godlove, hamonaze, shilole na madj?

Serious kabisa mnategemea accountability hapa

Samia must go!!
acheni ujinga chadma nani msomi hao
 
Bi Kizimkazi amebaki na machawa!
 
Shilole na Steve Nyerere kwani huwaoni?
 
nmkuu kwahiyo hii nchi wasomi na Majaaliwa na Mpango tu?
 
Back
Top Bottom