Samia amebaki na wakina nani serikali mbona kituko?

Kipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje

Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same

Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe.

Ndalichako
Kabudi
Kijazi
Mfugale
Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu wazima kwa vijana walipiga kazi.

Sasa waziri mkuu na Makamo wa Rais wanamkimbia!!

Sasa Samia mawaziri wake hawaeleweki

Wasaidizi wake hawaeleweki

Anachukua tu vibabu wenye Umri wake ndio hao wanamkimbia.

Tatizo Nini maana yake baada ya uchaguzi serikali itaongozwa na magenge ya wafoji vyeti na wauni wengine Kama wakina Bashite, sabaya, chief Godlove, hamonaze, shilole na madj?

Serious kabisa mnategemea accountability hapa

Samia must go!!
Achana na hayo wewe hujuwi kupanga nikuchaguwa ? Twende tukalime siasa waachie wenyewe
 
Kipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje

Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same

Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe.

Ndalichako
Kabudi
Kijazi
Mfugale
Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu wazima kwa vijana walipiga kazi.

Sasa waziri mkuu na Makamo wa Rais wanamkimbia!!

Sasa Samia mawaziri wake hawaeleweki

Wasaidizi wake hawaeleweki

Anachukua tu vibabu wenye Umri wake ndio hao wanamkimbia.

Tatizo Nini maana yake baada ya uchaguzi serikali itaongozwa na magenge ya wafoji vyeti na wauni wengine Kama wakina Bashite, sabaya, chief Godlove, hamonaze, shilole na madj?

Serious kabisa mnategemea accountability hapa

Samia must go!!
Ile public bureaucracy imepotea tangu enzi za mkapa
 
Watu wenye dalili za uadilifu hawatakiwi serikalini awamu hii
 
Back
Top Bottom