Samia ameamua kufanya betting

Samia ameamua kufanya betting

Huyu ndio tuliambiwa eti ni mwanadiplomasia mahiri? Sijui kafungua nchi na upuuzi gani sijui?

Huyu ndio tuliambiwa na akina Zitto eti ameletwa na Mungu kuliponya taifa?

Huyu ndio tuliambiwa eti amekuja kuliunganisha taifa na kuondoa uhasa uliokuwepo kati ya vyama pinzani na serikali?

Huyu ndio aliwaambia watanzania wote waliokimbilia nje kipindi kile kuwa warudi nyumbani kujenga nchi na hawatosumbuliwa tena?

Huyu ndio tuliambiwa ni mlezi wa taifa na kila mtu ni mwanaye hapa nchini na atalilea hili taifa kwa upendo wa hali ya juu kma mama?

HAPANA KABISA, huyu mwanamke ni katili na ana roho mbaya sana kuliko hata shetani na anatuchukia sana wanainchi wake.
Kwahiyo ilibidi aiache dar yote iunguzwe moto na nyie mazombie ya TEC, maria na kimambi ndo mngemuona wa maana, sio?!!!
 
Back
Top Bottom