PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna watu wamenweka hapo kwa maslahi mapana yao. Wale waliompendekeza awe makamu wakati wa jiwe
 
CCM ilicho tufanyia watanzania basi kwakweli yaani huyu mama hawezi na hajui chochote kuhusu uongozi yupo yupo tuu yanni ndio maana wahuni wanajiibia tu watakavyo na mambo hayaendi kabisa
 
Swali hili ukiwauliza machinga au yule jamaa aliyepewa makaburi 300 na zaidi badala ya ardhi Kwala au kulipwa bilioni 7 zake fidia ya ardhi yake ya kule Mandela road Dar watakuona mwehu.
 
Kuweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuukwaa ulaini/Urais wa Tanganyika ili awakoge CHADEMA.Nothing more or less!
 
Unataka na mimi nije kukujibu na ID yangu nyingine ndio ujue kwanini nimekuita kijana? nimeanza kutumia JF 2009 wewe ni kijana wangu tulia hujaitwa kwa bahati mbaya. Haa haa usipaniki
Comment na hiyo ID ya 2009..najua huna narudia.tena.mi ni baba yako.tuliq
 
Tuko tayari kupuuzwa na wauaji tu na sio mtu mwingine
ndio maana mnalalamika kila siku kwakuwa mshapuuzwa sana, mkiona miaka 30 ya bongo fleva mnalalamika, mkiona miss grand mnalalamika, mkiona watu wanapenda simba na yanga mnalalamika, nchi inakimbia kwa kasi ya ajabu sana bwawa la nyerere limekamilika kutoka silimia 33 hadi 100, sgr inafika kigoma soon, nenda tanesco kaombe takwimu wananchi wangapi wameunganishiwa umeme mwezi septemba na oktoba 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…