Samia! Achana na Mafisadi Mapema! Watakugharimu Zaidi

Samia! Achana na Mafisadi Mapema! Watakugharimu Zaidi

Maneno mujarab !! Lakini ndo wapiii !! Kwenye masumbwi huwa tunaogopa kubananishwa kwenye kamba za ulingoni maana pale salama yako ni refa aingilie kati.
Ila mimi ninaomba chuma izidivkukaza ili watanzania akili ziwarudi!
 
Ila mimi ninaomba chuma izidivkukaza ili watanzania akili ziwarudi!
No, people are ready.

Tatizo ni nani wa kupress Burton, tunahitaji watu wasiozidi 50 viongozi watakaoongoza harakati za Ukombozi wa Taifa letu.
 
Sababu sio woote ndani ya CCM
Ninyi ndio tatizo, mlifaidi wakati wa Mwendazake leo mumewekwa pembeni mnajifanya kukosoa na kujipendekeza kwa Mwananchi, ninyi nyote ni walewale.

Wananchi wanataka Chama Mbadala .
 
Wal mam hajali lolote kwani itakayo adhirika ni ccm wal samia kama samia wala hana na uzuri siyo mtanzania yaani wala haumizi kichwa kuongoza au nn kitatokea
 
Matola kwa muda nimekufuatilia koment zako na nimegundua wewe sio mtoto, unajitambua sana tu.

Lakini natamani tunapozungumzia mambo yenye maslahi mapana ya taifa letu tuende mbele zaidi ya uchama au upande ambao baadhi yetu huegemea.

Mimi binafsi nilimchukia jiwe kwa uonevu, ukatili uliopitiliza but
Katika ukali wake baadhi ya mambo...narudia baadhi ya mambo yalinyooka hasa utumishi wa umma watumishi walianza kuhudumia wakiogopa kutumbuliwa.

Kwasasa uzembe umerudi kwa kasi sana na upigaji wa wazi wazi.

Nafikiri tunapaswa kukemea maovu ya jiwe na hata udhaifu wa Samia katika uongozi
Chadema wasisubiri ruhusa ya kufanya siasa, waanze kufanya mikutano ya hadhara Sasa na ikiwezekana yaitishwe maandamano makubwa kupinga dhulma dhidi ya wananchi

Mimi awamu hii akiongea Benard Membe na Tundu Lisu nitawasikiliza kwa makini sana, hawa ndio wanaume Wawili pekee waliojitowa Muhanga hadharani kupambana na yule Ibilisi wa Chato.
 
Wewe Kinoamiguu na jidula mababansi
Ni wale wale Empty Skull Minded mliojazana hapo Lumumba mkitumika kama madodoki.
Hahahaha. mm sijawahi kujihusisha na ccm kwa namna yeyote ile, samahani umekosea
naamini matatizo yote ya watanzania yameletwa na chama hiki kilichojaa wanafiki wengi.
pole sana, jifunze kuwa objective hii itakusaidia kuelewa na kutathmini mambo kwa kina badala ya kuchukia watu huku ukiwalinganisha kwa vigezo visivyo sawa.
 
Watu wapi kusafiri nje ya nchi?

Siongelei wafanyabiashara kusafiri nje ya nchi!

Naongelea viongozi kusafiri njecya nchi kwenye safari zisizo na tija kwa maendeleo ya nchi!

Hivi unawezackujisifia Rais wa nchi kusafiri akitangatanga kuombaomba kwenye Mataifa ya nje!

Huku nchini kwake akiacha utajiri halisi ukikombwa na wachache kwa maslahi yao binafsi?

Ebu tuambie humu,nini manufaa ya xiaraukuki za Rais mpaka sasa!
Zaidi ya Mikopo na Mikataba ya Siri itakayokuja kuigharimu nchi hii pakubwa?

Acha Undezi!View attachment 2424845
nimeshajua aina ya mtu anayejenga hoja hapa. hujakua wewe
ziara=xara sijui ujinga gani? wewe ni mtoto mdogo unayetefuta fursa kwenye siasa. jitahidi kuwa objective
RAISI WA NCHI LAZIMA ASAFIRI KAMA HUJUI JUA LEO.
yaani anasafiri raisi wa US iwe nongwa kwa raisi wa Tanzania?
unafikia hata kuhusisha uongozi wa raisi na ajali? zimeanza leo? ulikuwa wapi wakati mv. victoria ikizama? tuseme kwa sababu Mkapa alikuw raisi?
soma vizuri historia ya Tz kwanza
jifunze kiswahili pia
 
Ninyi ndio tatizo, mlifaidi wakati wa Mwendazake leo mumewekwa pembeni mnajifanya kukosoa na kujipendekeza kwa Mwananchi, ninyi nyote ni walewale.

Wananchi wanataka Chama Mbadala .
Kwa kweli walamba asali ndio tatizo kuu la hii Nchi !!
 
Chadema wasisubiri ruhusa ya kufanya siasa, waanze kufanya mikutano ya hadhara Sasa na ikiwezekana yaitishwe maandamano makubwa kupinga dhulma dhidi ya wananchi

Mimi awamu hii akiongea Benard Membe na Tundu Lisu nitawasikiliza kwa makini sana, hawa ndio wanaume Wawili pekee waliojitowa Muhanga hadharani kupambana na yule Ibilisi wa Chato.
Chadema kwasasa nafikiri katibu anatuangusha au mwenyekiti.
Ukimya wao sio afya kwa chama cha siasa.
Amsha amsha imeisha na ccm wanajipigia tu.
Haijalishi bado kuna zuio la mikutano lkn wanapaswa kuisukuma serikali hadi iachilie mikutano ya hadhara
 
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662

Alamsikhi!
10101.
Hao mafisadi ndo wanaompa mama joto kwa sasa na anajiona yupo safe kwa kwango cha lami
 
Chadema kwasasa nafikiri katibu anatuangusha au mwenyekiti.
Ukimya wao sio afya kwa chama cha siasa.
Amsha amsha imeisha na ccm wanajipigia tu.
Haijalishi bado kuna zuio la mikutano lkn wanapaswa kuisukuma serikali hadi iachilie mikutano ya hadhara
Sahihi,lakini Sauti ni Sauti,hata ya Bashiru imetokea mikutano ya ndani,ila imeibua Mikutano ya Nje!
 
nimeshajua aina ya mtu anayejenga hoja hapa. hujakua wewe
ziara=xara sijui ujinga gani? wewe ni mtoto mdogo unayetefuta fursa kwenye siasa. jitahidi kuwa objective
RAISI WA NCHI LAZIMA ASAFIRI KAMA HUJUI JUA LEO.
yaani anasafiri raisi wa US iwe nongwa kwa raisi wa Tanzania?
unafikia hata kuhusisha uongozi wa raisi na ajali? zimeanza leo? ulikuwa wapi wakati mv. victoria ikizama? tuseme kwa sababu Mkapa alikuw raisi?
soma vizuri historia ya Tz kwanza
jifunze kiswahili pia
Wewe Kinoamiguu !

Usidhani humu woote ni wajinga wasiojitambua!

Pia uelewe nchi hii inao watu zaidi ya milioni 60 kwa sasa!

Pia uelewe!
Mimi sio mtoto!
Kama ni utoto,basi ni ule utoto wa "Mungu",ambae sisi sote ni watoto wake!

Kinoamiguu!
Pia uelewe kwamba...Maendeleo ya Taifa hayatokani na Safari lukuki za Kuombaomba misaada!

Pia Maendeleo ya nchi hayaletwi na Rais kubaki nchini bila kusafiri.

Bali!
Maendeo ni dhana pana inayotumika kwa viongozi, wanajamii, wanaharakati, ikiwahusisha wataalamu ili kuboresha maisha ya wanajamii pamoja na kutengeneza jamii iliyo bora.

Maendeleo ya jamii huelezewa kama fani ya kitaalamu na hufafanuliwa zaidi na jumuia za kimataifa kama Taaluma inayokuza demokrasia shirikishi, Maendeleo endelevu, haki, nafasi za kiuchumi, usawa, kuiwezesha jamii kimaslahi, kutambua hali za kimaisha na kielimu.

Maendeleo ya jamii husaidia kuwawezesha mtu mmojammoja na vikundi vya kijamii wenye mahitaji ya kuleta mabadiliko katika jamii zao. Maarifa hayo mara nyingi hufanyika kwa watu kupewa ujuzi na kuunda vikundi vitakavyokuwa na kazi na ajenda maalumu. Maafisa maendeleo ni lazima waelewe namna gani ya kufanya kazi zitakazoleta mabadiliko kulingana na mahitaji ya jamii na wakati husika.

Kwa hiyo,ni wajibu wetu kila mtanzania kupaza sauti pale tunapoona kundi moja dogo likitupeleka ndivyo sivyo.

Tusiposema sisi!,Nani atatusemea?

Tusiposema Leo!
Lini tutasema?

Tusipowaambia Live!,Lini mtaelewa kwamba tumechoka kudanganyika?

Ewe Kinoamiguu ....
Nimekuchukulia kama Empty Skull Minded mwingine toka rundo lenu mliojazana Lumbumba,mkitumika kama ma-DODOKI ya kusafishia Mafisadi.

JamiiForums1689545919.jpg
 
Chadema wasisubiri ruhusa ya kufanya siasa, waanze kufanya mikutano ya hadhara Sasa na ikiwezekana yaitishwe maandamano makubwa kupinga dhulma dhidi ya wananchi

Mimi awamu hii akiongea Benard Membe na Tundu Lisu nitawasikiliza kwa makini sana, hawa ndio wanaume Wawili pekee waliojitowa Muhanga hadharani kupambana na yule Ibilisi wa Chato.
Unaumia na kusikilizia Maumivu ukiwa wapi?

Unaweza kumfananisha Lissu na Membe?

Ni lini uliambiwa Lissu kaficha pesa nchi za nje?

Ni lini ulimsikia Lissu akihonga pesa ili aupate U-rais?

Kama Membe ndie Shujaa wako wewe!
Basi utafika safari yako ukiwa hoi sana!

Endelea kupambana na Mzimu wa Magufuli!
 
Ufike wakati watu watumie ubongo sawasawa, tunaposema bora jiwe maana yake ana nafuu ukilinganisha na wa sasa.
Hii haimanishi tunamtaka jiwe bali kama tungechambua madhaifu yao, wote ni wabovu lkn katika ubovu kuna mbovu zaidi na mbovu mwenye nafuu.

Katika utawala huu wengi tunasema kuwa watu hawayekwi tena ni sahihi na hili ni jambo jema sana sana lakini vipi huduma za jamii?
1. Umeme
2. Maji
3. Utendaji wa watumishi wa umma

4. Rushwa za waziwazi.

Kwa kifupi sijamtaka wala kumsifia jiwe bali nimetoa ulinganifu
Uko sahihi kabisa,na tunapopiga kelele sio kwa kuwachukia wateule hawa,bali tunakasirishwa na wanachotutendea!
JamiiForums362229953.jpg
 
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662

Alamsikhi!
10101.
20221123_074836.jpg
 
Machawa wa Magufuli ifike kipindi mkubali dikteta uchwara amekufa na yupo kuzimu.
Sisi sio ma-Chawa bali tunaongea yale yatakayomsaidia Babu na Bibi yako uliowatelekeza huko waliko!

Tunaongea sio kwa kasumba za upigaji,bali kwa kuuchukia Wizi wanaoufanya Mabwana zenu mpaka sasa!

Ni watu wenye vichwa vilivyonyofolewa akili na kubakia Mafuvu kama wewe Matola

Ndio mnaokaa humu kutetea ujinga huku mkitumika kama ma-DODOKI ya kuwaoshea mabwana zenu!

Wewe Matola ni Empty Skull Minded mwingine toka Lumumba ya Mafisadi Asali team.
JamiiForums1689545919.jpg
 
Back
Top Bottom