Samia! Achana na Mafisadi Mapema! Watakugharimu Zaidi

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,943
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!
JamiiForums690779634.jpg
JamiiForums896815200.jpg

Alamsikhi!
10101.
 
mlio karibu na huyo mama, mwambieni ukweli,huku mtaani hali ni mbaya sana.

imefika wakati hata akina sie ambao tulikuwa hatuna mahaba na jiwe, tumeanza kumkumbuka kwa mazuri machache aliyoyafanya.
Tatizo ni kwamba wameingia upofu shauri ya Asali.....

Angalia mfano kidogo hapa chini nimeambatanisha taarifa ya Mbunge huko singida!
Na haya Mambo yanafanyika kila kona nchi nzima kwenye hii miradi ya Samia.

Lakini hatujasikia mtu kakamatwa na kufungwa!

[emoji116]
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
[emoji116][emoji116]
Nawasalimu sana wandugu.

"Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha afya.

Nimekuta Ujenzi awamu ya kwanza almost umekamilika kilichobakia ni kufungwa masink pale maabara na flash doors.
Hapa tulipatiwa 250m.
Nitaambanisha picha

Awamu ya pili
Ujenzi wa majengo matatu
Upasuaji, Jengo la Wazazi na kufulia.

Kweli Ujenzi umesimama wiki ya tatu sasa mafundi hawapo site.
Nilichobaini:
1.Meneja Mradi Mwl Kinunda hakuwa anaishirikisha kamati ya Ujenzi ipasavyo hivyo kuvunja baadhi ya taratiibu za Manunuzi na kusababisha kutojulikana vifaa vilivyonunuliwa kwa mujibu wa muhtasrari maombi kama vilifikishwa vyote kwenye stoo.
2.Mabati yaliyonunuliwa yalikuwa ya migongo mitano badala ya mitano hivyo kusababisha upungufu wa bati 60 hivyi kushindwa kumalizia upauaji jengo la Wazazi na Upasuaji kwa maana hiyo gharama ya Manunuzi ilipungua kwenye bati so kuna salio ambalo halionekani.
3.Kikundi kinachojenga jengo la upasuaji Morning Star cha Makiungu kina maslahi ya mojakwamoja na meneja mradi hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi.
4.Saruji ilinunuliwa mifuko 1300 kwa sasa imebakia mifuko 125 tu.
Ukingalia kazi ilyofanyika hailingani na mifuko inayosemekana imetumika.
5.Frame za milango na Top zake bado hazipo site na Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi anasema walijibiwa fedha imekwisha.
6.Kwa vifaa vilivyopo hata ukimuita fundi leo hakuna fedha za kuwalipa.

Haya ndio masuala mkubwa yaliyoibuka kwenye ziara yangu jana.

Nimeshauri nini kifanyike kunusuru mradi huu.
1.PCCB Wafanye uchunguzi haraka na wahusuka wachukuliwe hatua.
2.Ifanyike Evaluation ya mradi kupata thamani ya mradi hadi ulipofikia.
3.Meneja mradi amekosa sifa ya kuendelea kusimamia but alazimishwe kuonyesha fedha na vifaa vinavyopungua
4.Mkurugenzi apeleke msimamizi mwingine ili kusiwepo na kufunika ubovu uliojitokeza ili kuokoa mradi ukamilike kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma .
5.Wote waliohisika wachukuliwe hatua stahiki.

Mwisho niwajulishe DC na DED wameshaanza kuchukua hatua tayari PCCB wamefika Ntuntu kuanza mahojiano na wahusika..

Kwa sasa hii ndio taarifa niliyoikusanya,imani yangu wahusika watachukua hatua za mapema kumaliza utata uliojitokeza mradi ukamilike mapema"
 
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662

Alamsikhi!
10101.
Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekezaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hospitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.

Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, halafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
 
Tatizo ni kwamba wameingia upofu shauri ya Asali.....

Angalia mfano kidogo hapa chini nimeambatanisha taarifa ya Mbunge huko singida!
Na haya Mambo yanafanyika kila kona nchi nzima kwenye hii miradi ya Samia.

Lakini hatujasikia mtu kakamatwa na kufungwa!

[emoji116]
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
[emoji116][emoji116]
Nawasalimu sana wandugu.

"Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha afya.

Nimekuta Ujenzi awamu ya kwanza almost umekamilika kilichobakia ni kufungwa masink pale maabara na flash doors.
Hapa tulipatiwa 250m.
Nitaambanisha picha

Awamu ya pili
Ujenzi wa majengo matatu
Upasuaji, Jengo la Wazazi na kufulia.

Kweli Ujenzi umesimama wiki ya tatu sasa mafundi hawapo site.
Nilichobaini:
1.Meneja Mradi Mwl Kinunda hakuwa anaishirikisha kamati ya Ujenzi ipasavyo hivyo kuvunja baadhi ya taratiibu za Manunuzi na kusababisha kutojulikana vifaa vilivyonunuliwa kwa mujibu wa muhtasrari maombi kama vilifikishwa vyote kwenye stoo.
2.Mabati yaliyonunuliwa yalikuwa ya migongo mitano badala ya mitano hivyo kusababisha upungufu wa bati 60 hivyi kushindwa kumalizia upauaji jengo la Wazazi na Upasuaji kwa maana hiyo gharama ya Manunuzi ilipungua kwenye bati so kuna salio ambalo halionekani.
3.Kikundi kinachojenga jengo la upasuaji Morning Star cha Makiungu kina maslahi ya mojakwamoja na meneja mradi hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi.
4.Saruji ilinunuliwa mifuko 1300 kwa sasa imebakia mifuko 125 tu.
Ukingalia kazi ilyofanyika hailingani na mifuko inayosemekana imetumika.
5.Frame za milango na Top zake bado hazipo site na Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi anasema walijibiwa fedha imekwisha.
6.Kwa vifaa vilivyopo hata ukimuita fundi leo hakuna fedha za kuwalipa.

Haya ndio masuala mkubwa yaliyoibuka kwenye ziara yangu jana.

Nimeshauri nini kifanyike kunusuru mradi huu.
1.PCCB Wafanye uchunguzi haraka na wahusuka wachukuliwe hatua.
2.Ifanyike Evaluation ya mradi kupata thamani ya mradi hadi ulipofikia.
3.Meneja mradi amekosa sifa ya kuendelea kusimamia but alazimishwe kuonyesha fedha na vifaa vinavyopungua
4.Mkurugenzi apeleke msimamizi mwingine ili kusiwepo na kufunika ubovu uliojitokeza ili kuokoa mradi ukamilike kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma .
5.Wote waliohisika wachukuliwe hatua stahiki.

Mwisho niwajulishe DC na DED wameshaanza kuchukua hatua tayari PCCB wamefika Ntuntu kuanza mahojiano na wahusika..

Kwa sasa hii ndio taarifa niliyoikusanya,imani yangu wahusika watachukua hatua za mapema kumaliza utata uliojitokeza mradi ukamilike mapema"

astaghfirullah...tumerudi nyuma miaka kadhaa nyuma enzi za ufisadi na ubadhirifu kipindi cha utawala wa kikwete. taifa linaenda shimoni.

hivi mama yupo nchini au yupo safarini nje ya nchi kama kawaida yake?....siku hizi hata sijishughulishi kufatilia uwepo wake. najionea taifa ni kama linajiendesha lenyewe kwa mfumo wa auto pilot
 
Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekeaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hispitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.

Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, hakafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
Muambie Mamako awe mkali kdg bhn, wanamdharau!.
 
Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekeaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hispitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.

Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, hakafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
Rais anapokuwa na mentality ya kibiashara hapo ndipo tatizo linapoanzia, anawaweka mahala pabaya sana wale wenye vipato vya chini.

Mfano, aliposema wakati ule bei ya bidhaa itapanda kwasababu ya vita ya Urusi na Ukraine, hapo ndipo wafanyabiashara wakatumia huo mwanya...

Matokeo yake bei za bidhaa tofauti zimekuwa zikipanda mfululizo toka wakati ule mpaka sasa, japo wakajitutumua kupandisha mishahara lakini ukweli bado hali ni mbaya.

Hii imesababisha hali ya mtanzania wa kawaida kuwa mbaya zaidi kiuchumi, na kuwanufaisha matajiri, ambao wewe unawasifia ukijidanganya/danganywa nchi inafunguliwa, lakini hii nchi inafunguliwa kwa matajiri, sio wenye vipato vya chini.

Ndio maana sasa tunaona vituo vya kujazia mafuta vinafunguliwa kama uyoga kila mahala, ukiona hivyo ujue wajanja wameanza kuvuna matunda ya udhaifu wa kiongozi aliyepo madarakani, kama ilivyokuwa awamu ile ya nne, awamu tuliyoahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania lakini wakawa na maisha bora wachache tu.

Matokeo yake, hali iliyopo inazidi kuongeza pengo kati ya wenye nacho na wasio nacho, na sitashangaa kama hata wewe unaesifia hali hiyo ukiishi kwa kusaidia, au kuwasaidia jamaa zako, ni ushabiki tu umewajaa vichwani, wakati kwa namna moja au nyingine unaumia bila kujua.
 
Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekeaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hispitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.

Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, hakafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu!
Ni waziri gani anaewkeza nchini?
Mbona unapindisha Mada?
Ninaongelea ufisadi wa kina Makamba,Rostam,Mwigulu nk.

Usijitowe ufahamu kujiona una akili za ziada ambaxo sisi wengine hatuna.
Wizi umetamalakivkila wizara halafu fala wewe unaleta story za Lami hapa.
Tunaongelea ukali wa maisha wewe unaongelea Uwekezaji?

Hivi unazijua gharama za matibabu kwenye Public Health Centers wewe?

Kuna mwanao anaesoma shule ya Public Tanzania na ukayajua madudu yaliyoko huko kwenye hayo madarasa mapya?

Wewe ni Empty Skull Minded mwingine kama wenzio mliojazana huko CCM.
JamiiForums1689545919.jpg
 
astaghfirullah...tumerudi miaka kadhaa nyuma enzi za ufisadi na ubadhirifu wakati wa utawala wa kikwete. taifa linaenda shimoni.

hivi mama yupo nchini au yupo safarini nje ya nchi kama kawaida yake?....siku hizi hata sijishughulishi kufatilia uwepo wake. najionea taifa kama linajiendesha lenyewe kwa mfumo wa auto pilot
"Malkia wa Nyuki" amelazimika kutembelea Wananchi jana huko Manyara baada ya Jiwe la Bash-Law kuupiga na kuutingisha Mzinga!
 
Rais Samia sio mtu wa kufanyia kazi mihemko Wala majungu so unajichosha bure bwana Sukuma gang
Nilikwisha sema Ma-Chawa mpo humu karibuni tuwaambie ukweli.
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu

Kama hafanyii kazi mihemko....

Ilikuwaje jana kuitisha kikao cha kamati kuu CCM kwa dharula?

Na hakuishia hapo,akaanza na ziara mara moja!
Huko Singida na Manyara?

Jiwe la "Bash-law" liliupiga mzinga,na kumtoa
"Malkia wa Nyuki" akalazimika kutoka kwenda walau kuwaangalia wananchi huko site!

Hongera #Bashiru!

#BashirusioNdugai!

Umeme na Maji sio madarasa ,vyote hivyo vitakuwa historia 2025.
 
Niwahi seat hapa
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662

Alamsikhi!
10101.
 
Ukiwa unakula na kushiba huna tatizo lolote mara nyingi hao wanaolia hali ngumu unaona km hawafanyi kazi ama wazembe.Hilo ndo limejaa akilini mwa viongozi wengi .Wakija kwenye kamera utasikia jiajirini fanyenyi kazi lakini kiukweli tunapambana sana lakini hali ni mbaya sana.Kiukweli tu hakuna watu wenye dharau km watu wenye shibe ukitaka akili zao zikawe sawa wapokonywe kazi ndo utasikia wanalalamika nao ...unafiki ,unafiki [emoji21][emoji21]tu umetawala.
 
Back
Top Bottom