Samia! Achana na Mafisadi Mapema! Watakugharimu Zaidi

Samia! Achana na Mafisadi Mapema! Watakugharimu Zaidi

Wewe Kinoamiguu !

Usidhani humu woote ni wajinga wasiojitambua!

Pia uelewe nchi hii inao watu zaidi ya milioni 60 kwa sasa!

Pia uelewe!
Mimi sio mtoto!
Kama ni utoto,basi ni ule utoto wa "Mungu",ambae sisi sote ni watoto wake!

Kinoamiguu!
Pia uelewe kwamba...Maendeleo ya Taifa hayatokani na Safari lukuki za Kuombaomba misaada!

Pia Maendeleo ya nchi hayaletwi na Rais kubaki nchini bila kusafiri.

Bali!
Maendeo ni dhana pana inayotumika kwa viongozi, wanajamii, wanaharakati, ikiwahusisha wataalamu ili kuboresha maisha ya wanajamii pamoja na kutengeneza jamii iliyo bora.

Maendeleo ya jamii huelezewa kama fani ya kitaalamu na hufafanuliwa zaidi na jumuia za kimataifa kama Taaluma inayokuza demokrasia shirikishi, Maendeleo endelevu, haki, nafasi za kiuchumi, usawa, kuiwezesha jamii kimaslahi, kutambua hali za kimaisha na kielimu.

Maendeleo ya jamii husaidia kuwawezesha mtu mmojammoja na vikundi vya kijamii wenye mahitaji ya kuleta mabadiliko katika jamii zao. Maarifa hayo mara nyingi hufanyika kwa watu kupewa ujuzi na kuunda vikundi vitakavyokuwa na kazi na ajenda maalumu. Maafisa maendeleo ni lazima waelewe namna gani ya kufanya kazi zitakazoleta mabadiliko kulingana na mahitaji ya jamii na wakati husika.

Kwa hiyo,ni wajibu wetu kila mtanzania kupaza sauti pale tunapoona kundi moja dogo likitupeleka ndivyo sivyo.

Tusiposema sisi!,Nani atatusemea?

Tusiposema Leo!
Lini tutasema?

Tusipowaambia Live!,Lini mtaelewa kwamba tumechoka kudanganyika?

Ewe Kinoamiguu ....
Nimekuchukulia kama Empty Skull Minded mwingine toka rundo lenu mliojazana Lumbumba,mkitumika kama ma-DODOKI ya kusafishia Mafisadi.

View attachment 2425034
ukiona raisi wa nchi anakwepa kusafiri ujue huyo ni juha fulani hivi,
kukopa na kuomba misaada kwa nchi halijawahi kuwa kosa. kama ni kosa twambie ni lini Tanzania ilijitegemea na kuacha kuombaomba?
mm napita lumumba kama mpita njia mwingine tu. sawa na wewe ulivyo mtoto wa mungu kama wengine
jifunze kuwa OBJECTIVE itakusaidia kujenga hoja. jua pia namna ya uandishi bora ili ueleweke unaeleza nini hasa
kuna mahusiano gani kati ya ajali ya precision na uongozi wa ikulu ya magogoni? uliandika waraka mreeefu hapa bila kufanya tafakur at nawe ni GT?
mm siyo mwana Lumumba pole.
 
mlio karibu na huyo mama, mwambieni ukweli,huku mtaani hali ni mbaya sana.

imefika wakati hata akina sie ambao tulikuwa hatuna mahaba na jiwe, tumeanza kumkumbuka kwa mazuri machache aliyoyafanya.
Mtakili tu taratibu tu.
 
Utamu ukikolea,mtu huwa hasikii maumivu!
JamiiForums-1300322591.gif
 
Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekezaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hospitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.

Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, halafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
Wewe mlamba keki [emoji513] sawa tutateseka ila naninyi Mtakuja kuona.
Hivi unaaanzaje kusema uwekezaji huku hiyo miradi inapigwa ndiyo nini sasa!
 
Samia yuko pro business, hilo mulielewe wazi.
Ni watu wajinga wajinga ndio wanawaita wawekezaji ati mafisadi.
Na aina hii ya watu haina mchango wowote kwenye kodi au uzalishaji katika uchumi.
Na bado wapiga domo hawa wanataka barabara, umeme, maji, shule na hospitali na huduma nyingine za kijamii, bure kabisa.

Watanzania tumeamka kuchangamkia fursa za kuwekeza, halafu linatokea zebwe kama hili ati mafisadi.
Utawekeza bila umeme?
Haya bwawa mmelazimisha liishe 2024 ili mpige kwanza pesa.
 
Utawekeza bila umeme?
Haya bwawa mmelazimisha liishe 2024 ili mpige kwanza pesa.
usipingane na nature utaonekana mjinga/mbumbu. kama mvua hamna huo umeme utatoka kuzimu?
usipingane na sayansi/ kuchelewa kuisha kwa bwawa kuna mahusiano gani na wizi?
siyo kila jambo ni upigaji
 
Wananchi wa hali ya kawaida wanaenda kuwa maadui wake, na hao ndio wapiga kula wake.
 
nikisoma maandiko yako huwa nagundua vitu vingi sana. inasikitisha
wewe ni mtu mzima, mwana ccm kindakindaki lakini hujui lolote juu ya namna serikal (executive) inavyo fanya kazi. unaamini kwenye watu badala ya mifumo.
una chuki na watu fulani ukiamini kwamba wao ndiyo chanzo cha kila baya unalofikiria ... unawezaje kuhusisha uongozi wa mtu na mvua?
ni lini wakulima wa Tanzania walishawahi kuwa na nafuu ya maisha? lini wananchi hao mnaoita wa kipato cha chini walishawahi kuwa na nafuu ya maisha? husemi unaishia kubwabwaja tuuuuu
Kuna kaunafuu kwa marehemu Magufuli mkuu
Kwanza watu ulikuwa unawasikiatu wao wenyewe wanavyomuongelea mwamba lakini kwa huyu Mama watu wamekata tamaa kabisa.
 
Kwa ujinga wenu ninyi ndio mnajitoa ufahamu.
Mama hakuleta ukame , kama Magufuli mbavyo hakuleta tetemeko Kagera.
Msijitie mmesahahu.

Pili ninyi tegemezi chapachapa ndio mizigo kwa Taifa.
Mmekalia kula kulala na kujamba mlichozoeleshwa na mwendazake.
Mnafikiri enzi za kuwakamua watu wanaojitahidi kujitegemea zitaendelea.
Mnakufa kwa ufukkara na kujiona.
No free lunch, fanyeni kazi badala ya kulalamika na kujipa moyo kwenye vijiwe vtenu.
Ila kumbuka shilingi ina mwenge na kichwa.
 
usipingane na nature utaonekana mjinga/mbumbu. kama mvua hamna huo umeme utatoka kuzimu?
usipingane na sayansi/ kuchelewa kuisha kwa bwawa kuna mahusiano gani na wizi?
siyo kila jambo ni upigaji
Mkuu umefika sehemu yenyewe au unasematu?
Maji yapo na yanaendelea kuchepushwa.
 
Sisi sio ma-Chawa bali tunaongea yale yatakayomsaidia Babu na Bibi yako uliowatelekeza huko waliko!

Tunaongea sio kwa kasumba za upigaji,bali kwa kuuchukia Wizi wanaoufanya Mabwana zenu mpaka sasa!

Ni watu wenye vichwa vilivyonyofolewa akili na kubakia Mafuvu kama wewe Matola

Ndio mnaokaa humu kutetea ujinga huku mkitumika kama ma-DODOKI ya kuwaoshea mabwana zenu!

Wewe Matola ni Empty Skull Minded mwingine toka Lumumba ya Mafisadi Asali team.View attachment 2425047
Duh !!
 
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662

Alamsikhi!
10101.
Dada acha kupoteza muda siasani chukua jembe ingia shambani
 
Wewe unaweza kuukata mkono unaokulisha???
 
Back
Top Bottom