Samia! Achana na Mafisadi Mapema! Watakugharimu Zaidi

Nikuhakikishie ndugu yangu, hakuna atakayewajibishwa hapo.
Wangapi wamepiga pesa mpaka sasa, wanajulikana na hawajawajibishwa?

Kwa kifupi, kwa sasa Tanzania imekuwa ni shamba la Bibi mzaa Bibi.
Kila unapogusa ni UFISADI, UFISADI, UFISADI tu.
MAFISADI yamemuweka Bibie kwapani. Hafurukuti hata kidogo.
WAHUNI wamemteka Bibie.
Inaumiza sana sana.
 
Tatizo ni kwamba wameingia upofu shauri ya Asali.....

Angalia mfano kidogo hapa chini nimeambatanisha taarifa ya Mbunge huko singida!
Na haya Mambo yanafanyika kila kona nchi nzima kwenye hii miradi ya Samia.

Lakini hatujasikia mtu kakamatwa na kufungwa!

[emoji116]
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
[emoji116][emoji116]
Nawasalimu sana wandugu.

"Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha afya.

Nimekuta Ujenzi awamu ya kwanza almost umekamilika kilichobakia ni kufungwa masink pale maabara na flash doors.
Hapa tulipatiwa 250m.
Nitaambanisha picha

Awamu ya pili
Ujenzi wa majengo matatu
Upasuaji, Jengo la Wazazi na kufulia.

Kweli Ujenzi umesimama wiki ya tatu sasa mafundi hawapo site.
Nilichobaini:
1.Meneja Mradi Mwl Kinunda hakuwa anaishirikisha kamati ya Ujenzi ipasavyo hivyo kuvunja baadhi ya taratiibu za Manunuzi na kusababisha kutojulikana vifaa vilivyonunuliwa kwa mujibu wa muhtasrari maombi kama vilifikishwa vyote kwenye stoo.
2.Mabati yaliyonunuliwa yalikuwa ya migongo mitano badala ya mitano hivyo kusababisha upungufu wa bati 60 hivyi kushindwa kumalizia upauaji jengo la Wazazi na Upasuaji kwa maana hiyo gharama ya Manunuzi ilipungua kwenye bati so kuna salio ambalo halionekani.
3.Kikundi kinachojenga jengo la upasuaji Morning Star cha Makiungu kina maslahi ya mojakwamoja na meneja mradi hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi.
4.Saruji ilinunuliwa mifuko 1300 kwa sasa imebakia mifuko 125 tu.
Ukingalia kazi ilyofanyika hailingani na mifuko inayosemekana imetumika.
5.Frame za milango na Top zake bado hazipo site na Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi anasema walijibiwa fedha imekwisha.
6.Kwa vifaa vilivyopo hata ukimuita fundi leo hakuna fedha za kuwalipa.

Haya ndio masuala mkubwa yaliyoibuka kwenye ziara yangu jana.

Nimeshauri nini kifanyike kunusuru mradi huu.
1.PCCB Wafanye uchunguzi haraka na wahusuka wachukuliwe hatua.
2.Ifanyike Evaluation ya mradi kupata thamani ya mradi hadi ulipofikia.
3.Meneja mradi amekosa sifa ya kuendelea kusimamia but alazimishwe kuonyesha fedha na vifaa vinavyopungua
4.Mkurugenzi apeleke msimamizi mwingine ili kusiwepo na kufunika ubovu uliojitokeza ili kuokoa mradi ukamilike kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma .
5.Wote waliohisika wachukuliwe hatua stahiki.

Mwisho niwajulishe DC na DED wameshaanza kuchukua hatua tayari PCCB wamefika Ntuntu kuanza mahojiano na wahusika..

Kwa sasa hii ndio taarifa niliyoikusanya,imani yangu wahusika watachukua hatua za mapema kumaliza utata uliojitokeza mradi ukamilike mapema"
nikisoma maandiko yako huwa nagundua vitu vingi sana. inasikitisha
wewe ni mtu mzima, mwana ccm kindakindaki lakini hujui lolote juu ya namna serikal (executive) inavyo fanya kazi. unaamini kwenye watu badala ya mifumo.
una chuki na watu fulani ukiamini kwamba wao ndiyo chanzo cha kila baya unalofikiria ... unawezaje kuhusisha uongozi wa mtu na mvua?
ni lini wakulima wa Tanzania walishawahi kuwa na nafuu ya maisha? lini wananchi hao mnaoita wa kipato cha chini walishawahi kuwa na nafuu ya maisha? husemi unaishia kubwabwaja tuuuuu
 
Ukiwa unakula na kushiba huna tatizo lolote mara nyingi hao wanaolia hali ngumu unaona km hawafanyi kazi ama wazembe.Hilo ndo limejaa akilini mwa viongozi wengi .Wakija kwenye kamera utasikia jiajirini fanyenyi kazi lakini kiukweli tunapambana sana lakini hali ni mbaya sana.Kiukweli tu hakuna watu wenye dharau km watu wenye shibe ukitaka akili zao zikawe sawa wapokonywe kazi ndo utasikia wanalalamika nao ...unafiki ,unafiki [emoji21][emoji21]tu umetawala.
Tena ukitaka kuwajua,angalia hata humu JF!
Utaona comments zao zikianza na maneno kama....Majungu hayo!....Uvivu huo!....Kafanye kazi!......Tafuta riziki ya wanao!......Pambana na hali yako!

Ikionyesha kwamba umewajera mno!
 
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu!
Ni waziri gani anaewkeza nchini?
Mbona unapindisha Mada?
Ninaongelea ufisadi wa kina Makamba,Rostam,Mwigulu nk.

Usijitowe ufahamu kujiona una akili za ziada ambaxo sisi wengine hatuna.
Wizi umetamalakivkila wizara halafu fala wewe unaleta story za Lami hapa.
Tunaongelea ukali wa maisha wewe unaongelea Uwekezaji?

Hivi unazijua gharama za matibabu kwenye Public Health Centers wewe?

Kuna mwanao anaesoma shule ya Public Tanzania na ukayajua madudu yaliyoko huko kwenye hayo madarasa mapya?

Wewe ni Empty Skull Minded mwingine kama wenzio mliojazana huko CCM. View attachment 2424702
Kwa ujinga wenu ninyi ndio mnajitoa ufahamu.
Mama hakuleta ukame , kama Magufuli mbavyo hakuleta tetemeko Kagera.
Msijitie mmesahahu.

Pili ninyi tegemezi chapachapa ndio mizigo kwa Taifa.
Mmekalia kula kulala na kujamba mlichozoeleshwa na mwendazake.
Mnafikiri enzi za kuwakamua watu wanaojitahidi kujitegemea zitaendelea.
Mnakufa kwa ufukkara na kujiona.
No free lunch, fanyeni kazi badala ya kulalamika na kujipa moyo kwenye vijiwe vtenu.
 
nikisoma maandiko yako huwa nagundua vitu vingi sana. inasikitisha
wewe ni mtu mzima, mwana ccm kindakindaki lakini hujui lolote juu ya namna serikal (executive) inavyo fanya kazi. unaamini kwenye watu badala ya mifumo.
una chuki na watu fulani ukiamini kwamba wao ndiyo chanzo cha kila baya unalofikiria ... unawezaje kuhusisha uongozi wa mtu na mvua?
ni lini wakulima wa Tanzania walishawahi kuwa na nafuu ya maisha? lini wananchi hao mnaoita wa kipato cha chini walishawahi kuwa na nafuu ya maisha? husemi unaishia kubwabwaja tuuuuu
Mkuu hao ndio wale walizoea kuiba Beureu De Change na vile vile kufaidika na zile Task Force za kuwaibia watu wanaozalisha mali.
Sasa wanakufa njaa, utawajua tu.
 
Tena ukitaka kuwajua,angalia hata humu JF!
Utaona comments zao zikianza na maneno kama....Majungu hayo!....Uvivu huo!....Kafanye kazi!......Tafuta riziki ya wanao!......Pambana na hali yako!

Ikionyesha kwamba umewajera mno!
kushiba au kutokushiba hakuondoi uwezo wa mtu kuhoji?
Tanzania ukimjibu mtu kama wewe unaitwa umelamba asali... sijui za wapi?
watu wenye akili timamu/ wewe haupo . huamini kwenye mifumo imara siyo watu.
mpaka leo unaamini kwamba raisi wa nchi hatakiwi kusafiri nje ili watu wasiibe? utakuwa na shida na hata elimu yako itakuwa ya mashaka makubwa
kilichotokea ikugi sijui wapi ni zao la matumizi ya force ACCOUNT.
 
Mkuu hao ndio wale walizoea kuiba Beureu De Change na vile vile kufaidika na zile Task Force za kuwaibia watu wanaozalisha mali.
Sasa wanakufa njaa, utawajua tu.
inashangaza sana. huyu anafikia hata kuhusisha ajali zinazotokea sasa na uongozi wa SSH? ajali zimeanza kutokea leo? mbona hata PM Sokoine alikufa kwenye ajali? MV Bukoba na nyingine nyingi?
ana husisha ukame na uongozi wa SSHmwaka 1997 alikuwepo?
Bashiru kuwasemea wakulima? mbona hakuwahi kuwasemea wafanyakazi waliokaa ukiwa miaka 5 bila kuongezewa mishahara?
woote waseme hata Bashiru naye tumwamini?
Huyu si alitoa mamilioni yetu kuwahonga wabunge waunge mkono juhudi? tofauti ya kusema "anaupiga mwingi" na " KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAISI NININI" NA " Nasimama na raisi wangu je"
Bashiru siyo wa kuamini
 
Itakuwa vema sasa Rais Samia aanze kuwawajibisha.
Watu kama Bashiru wasio na fadhila , na waliwatendea hvyo wananchi kwa ujumla.
Inabidi waanikwe.
 
kabisa japo siyo jambo zuri sana kidemokrasia..... ila inabidi its too much
 
mlio karibu na huyo mama, mwambieni ukweli,huku mtaani hali ni mbaya sana.

imefika wakati hata akina sie ambao tulikuwa hatuna mahaba na jiwe, tumeanza kumkumbuka kwa mazuri machache aliyoyafanya.
Hakika bora jiwe mara 100
 
Kwa ujinga wenu ninyi ndio mnajitoa ufahamu.
Mama hakuleta ukame , kama Magufuli mbavyo hakuleta tetemeko Kagera.
Msijitie mmesahahu.

Pili ninyi tegemezi chapachapa ndio mizigo kwa Taifa.
Mmekalia kula kulala na kujamba mlichozoeleshwa na mwendazake.
Mnafikiri enzi za kuwakamua watu wanaojitahidi kujitegemea zitaendelea.
Mnakufa kwa ufukkara na kujiona.
No free lunch, fanyeni kazi badala ya kulalamika na kujipa moyo kwenye vijiwe vtenu.
Tangu lini tumethibitishiwa na wasimamizi wa mabwawa ya Mtera na kihansi,kwamba vina vya maji vimepungua?

Umejisahaulisha Makamba alivyomchukulia hatua yule Meneja wa Mtera pale alipokanusha Uongo wa Makamba?

Unataka kutuaminisha kwamba hakuna hujuma kwenye kashfa ya ukatikaji Umeme nchini?

Ilikuwaje Umeme haukukatika kwenye kipindi chote cha Magufuli?

Kama sio baada ya kutoa Onyo hadharani dhidi ya wataofungulia maji Mtera na Kihansi?

Danganyeni watoto wenu na wake zenu na watumishi wenu wa ndani.

Tozo zimeletwa ba Ukame?
Kufungua mipaka wakenya Wakombe vyakula,unasingizia Ukame?

Makamba anahujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere kwa maslahi ya kundi lenu Msoga jweupe bila aibu,halafu wewe unaleta upoyoyo wako hapa!

Wewe ni Empty Skull Minded mwingine!
JamiiForums1689545919.jpg
 
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662

Alamsikhi!
10101.
Machawa wa Magufuli ifike kipindi mkubali dikteta uchwara amekufa na yupo kuzimu.
 
Nashauri tukamfufue aje aendelee kututawala mana huyu wa sasa anatuongoza
Ufike wakati watu watumie ubongo sawasawa, tunaposema bora jiwe maana yake ana nafuu ukilinganisha na wa sasa.
Hii haimanishi tunamtaka jiwe bali kama tungechambua madhaifu yao, wote ni wabovu lkn katika ubovu kuna mbovu zaidi na mbovu mwenye nafuu.

Katika utawala huu wengi tunasema kuwa watu hawayekwi tena ni sahihi na hili ni jambo jema sana sana lakini vipi huduma za jamii?
1. Umeme
2. Maji
3. Utendaji wa watumishi wa umma

4. Rushwa za waziwazi.

Kwa kifupi sijamtaka wala kumsifia jiwe bali nimetoa ulinganifu
 
kushiba au kutokushiba hakuondoi uwezo wa mtu kuhoji?
Tanzania ukimjibu mtu kama wewe unaitwa umelamba asali... sijui za wapi?
watu wenye akili timamu/ wewe haupo . huamini kwenye mifumo imara siyo watu.
mpaka leo unaamini kwamba raisi wa nchi hatakiwi kusafiri nje ili watu wasiibe? utakuwa na shida na hata elimu yako itakuwa ya mashaka makubwa
kilichotokea ikugi sijui wapi ni zao la matumizi ya force ACCOUNT.
Watu wapi kusafiri nje ya nchi?

Siongelei wafanyabiashara kusafiri nje ya nchi!

Naongelea viongozi kusafiri njecya nchi kwenye safari zisizo na tija kwa maendeleo ya nchi!

Hivi unawezackujisifia Rais wa nchi kusafiri akitangatanga kuombaomba kwenye Mataifa ya nje!

Huku nchini kwake akiacha utajiri halisi ukikombwa na wachache kwa maslahi yao binafsi?

Ebu tuambie humu,nini manufaa ya xiaraukuki za Rais mpaka sasa!
Zaidi ya Mikopo na Mikataba ya Siri itakayokuja kuigharimu nchi hii pakubwa?

Acha Undezi!
JamiiForums1689545919.jpg
 
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi sasa!

Mawaziri wako huru wanajipangia pa kupiga ni wapi!
Badala ya kumsaidia Rais kutatua kero za kitaifa,wao ndio wanazizalisha kero, ili tu watumie fursa za utatuzi kujitajirisha!

Rais amewekwa mtu kati na genge la wajanja ndani ya chama kwa uratibu kutoka timu ya Msoga!

Mama anapangiwa safari ili asitulie ofisini,na wao wanatumia huo mwanya kupiga pesa!

Nashukuru #Bashiru,amewashitua hadi Malkia wa Nyuki,amekumbuka kutembelea Wananchi sasa!

Kila siku Wanazindua..... Makongamano,Warsha,Semina na kila aina ya fursa,lakini mpaka sasa hatuoni impact yake kwa mwananchi halisi wa kipato cha kati kurudi chini.

Wajinga wachache wanasifia Mbolea wakati hata mvua ya kuitumia hiyo Mbolea haipo!

Wanashindwa kujiuliza ni nani aliekuwepo serikalini wakati bei ikiwa juu,na ni nani yupo sasa wakati wanaodai bei iko chini?

Unasifia bei ya Mbolea!,wakati bei ya Chakula nchini inapaa kuliko ndege ya Precision Air?

Unasema Mkulima amenufaika na bei ya Mazao!
Mkulima wa wapi huyo!
Wakati Wakenya wanaingia mpaka Mashambani na kulamgua Mazao kwa bei ya chini,kisha wanakimbiza nje ya nchi na kuuza huko Sudan kusini na Kenya kwenyewe!

Bei iliyopanda kwa vyakula,haimnufaishi Mkulima,bali 8nawanufaisha wafanyabiashara na Mawaziri husika na vibali vya uuzaji mazao pamoja na Sukari!

Huko CCM kwenyewe,tunaona sura zile zilizowekwa pembeni awali.Ili kukiokoa chama,sasa zimerudi kwa nguvu ya Pesa huko mikoani kwenye chaguzi zao za Ndani ya chama.

Samia usiposhtuka sasa!
Sio woote ndani ya CCM watakubali kuzama na wewe!

Sababu sio woote ndani ya CCM wanaofaidi na kundi hilo teule!

Matokeo yake CCM hiyo itaenda kupasua Mbarika mchana kweupe!
Sababu ni wewe kuwakumbatia waliopo kwa maslahi yenu badala ya wananchi wapiga kura!
Tunaona jinsi wasema kweli ndani ya CCM wanavyofedheheshwa huku ukiwa unafurahia!

Lakini uelewe Bayana kwamba utakapoteleza wewe!,hao hao wanaokusifia leo,ndio hao hao watakaokuponda kesho!

Yaliyomkuta Magufuli usidhani hayawezi kukuta wewe pia!
Ni hao hao ndio wiokuwa wakimsifia Usiku na Mchana!

Alipodondoka wamekudaka wewe kwa sifa zile zile,tofauti ni kwamba sifa za sasa zinawalipa kuliko enzi ile ya utumbuzi.

Najua Ma- Chawa mpo kibao sasa hivi,mmepata fursa ingine ya kupiga hela!

Ila hatutaacha kuwaambia Ukweli!View attachment 2424660View attachment 2424662

Alamsikhi!
10101.
Maneno mujarab !! Lakini ndo wapiii !! Kwenye masumbwi huwa tunaogopa kubananishwa kwenye kamba za ulingoni maana pale salama yako ni refa aingilie kati.
 
Hivi tutaendelea kulalamika tu Hadi 2025?

Hivi Kweli hamna tunaloweza Fanya kuikomboa Nchi yetu isiangamie?
 
Machawa wa Magufuli ifike kipindi mkubali dikteta uchwara amekufa na yupo kuzimu.

Matola kwa muda nimekufuatilia koment zako na nimegundua wewe sio mtoto, unajitambua sana tu.

Lakini natamani tunapozungumzia mambo yenye maslahi mapana ya taifa letu tuende mbele zaidi ya uchama au upande ambao baadhi yetu huegemea.

Mimi binafsi nilimchukia jiwe kwa uonevu, ukatili uliopitiliza but
Katika ukali wake baadhi ya mambo...narudia baadhi ya mambo yalinyooka hasa utumishi wa umma watumishi walianza kuhudumia wakiogopa kutumbuliwa.

Kwasasa uzembe umerudi kwa kasi sana na upigaji wa wazi wazi.

Nafikiri tunapaswa kukemea maovu ya jiwe na hata udhaifu wa Samia katika uongozi
 
Back
Top Bottom