Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,614
Terrrible!Inahuzunisha sana. Fikiria wakati mgumu wapendwa wao wanavyopitia wakati huu.
R.I.P
Mwanga mpaka Hedaru ni eneo hatari sana kwa mwendokasi na kuna baadhi ya maeneo yake yamewekwa kabisa vibao vya hadhari. BTW alitoka Tanga nyumbani. Kuna baadhi ya maeneo siku ya kuondoka huagi kila mtuVW chumaaa
Umeelewa VizuriAfisa Uhamiaji na Corrola namba A au mi ndio sielewi?
Ya Corolla kubeba watu 7 unaielewa? Halafu jamaa akaanza kuendeshea upande wa kulia, watu wote saba wanamshangilia tu, wala hamna wa kumkataza?Afisa Uhamiaji na Corrola namba A au mi ndio sielewi?
True. Mambo ya kuaga ili upewe kuku wa bure ndio unajikuta umepewa kuku maalum wa kukupeperusha wewe na familia yako yote.Mwanga mpaka Hedaru ni eneo hatari sana kwa mwendokasi na kuna baadhi ya maeneo yake yamewekwa kabisa vibao vya hadhari
BTW alitoka Tanga nyumbani ... Kuna baadhi ya maeneo siku ya kuondoka huagi kila mtu
Watu8, usifanye masihara na nguvubya rushwa, buku tatu tu inamfanya njagu atulize mshono wa njaaHakuna check points huko, watu 7 ni wengi kwa Corolla
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]True. Mambo ya kuaga ili upewe kuku wa bure ndio unajikuta umepewa kuku maalum wa kukupeperusha wewe na familia yako yote.
Jamaa alisafiri hadi na House girl
Watu8, usifanye masihara na nguvubya rushwa, buku tatu tu inamfanya njagu atulize mshono wa njaa