mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
Mkiambiwa msubiri wakati tunatafuta hamuelewi,mnafuata masharobaro na wapaka poda.
Mkiambiwa msubiri wakati tunatafuta hamuelewi,mnafuata masharobaro na wapaka poda.
Safi sana muulize huyo....Na wewe unaingiza ngapi mkuu kwa mwezi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkiambiwa msubiri wakati tunatafuta hamuelewi,mnafuata masharobaro na wapaka poda.
Bado haja lipa bills mbalimbali na akumbuke maisha ya England sio sawa na ya Tz.Mkumbuke hiyo ni gross salary.
Mkisikia makato yake mtasema bora arudi Tp mazembe ama simba tuu.
Unforgetable