F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jun 3, 2013 #41 TUKUTUKU said: Mkuu inawezekana ana supu nzuri sana! Click to expand... Hahahahahaha we nawe wawaza kula tuuu
TUKUTUKU said: Mkuu inawezekana ana supu nzuri sana! Click to expand... Hahahahahaha we nawe wawaza kula tuuu
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jun 3, 2013 #42 Allah is great
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Jun 3, 2013 #43 Du! hiyo hatari....
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,087 Reaction score 34,884 Jun 4, 2013 Thread starter #44 TUKUTUKU said: Mkuu MziziMkavu vipi huyu samaki anafaa kwa kitoweo?kwa macho tu nimemtamani sana kumla supu! Click to expand... Mkuu TUKUTUKU Samaki huyu anafaa kwa kufugwa sio wa kitoweo kwa sababu ni samaki wa ajabu sio wa kumla ni kufuga tu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TUKUTUKU said: Mkuu MziziMkavu vipi huyu samaki anafaa kwa kitoweo?kwa macho tu nimemtamani sana kumla supu! Click to expand... Mkuu TUKUTUKU Samaki huyu anafaa kwa kufugwa sio wa kitoweo kwa sababu ni samaki wa ajabu sio wa kumla ni kufuga tu.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,087 Reaction score 34,884 Jun 4, 2013 Thread starter #45 Shine said: Snake huyo msijidanganye Click to expand... Mkuu Shine akiwa ni Snake atakuwa ni Mkunga sio snake huyu ni samaki wa ajabu mkuu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Shine said: Snake huyo msijidanganye Click to expand... Mkuu Shine akiwa ni Snake atakuwa ni Mkunga sio snake huyu ni samaki wa ajabu mkuu.
W wakumbuli Senior Member Joined Aug 20, 2009 Posts 147 Reaction score 5 Jun 4, 2013 #46 ameonekana wapi wadau
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Jun 11, 2013 #47 MziziMkavu said: Mkuu Shine akiwa ni Snake atakuwa ni Mkunga sio snake huyu ni samaki wa ajabu mkuu. Click to expand... Mh!! huyu mtaishia kumla nyie tu Mzizi mkavu
MziziMkavu said: Mkuu Shine akiwa ni Snake atakuwa ni Mkunga sio snake huyu ni samaki wa ajabu mkuu. Click to expand... Mh!! huyu mtaishia kumla nyie tu Mzizi mkavu