Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,742 Jun 3, 2013 #1 Leptocephalus - The Transparent Fish
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,905 Reaction score 28,070 Jun 3, 2013 #2 Hakika ni waajabu...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,499 Jun 3, 2013 #3 Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...
Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,552 Reaction score 21,685 Jun 3, 2013 #4 Kula hii kitu ni kutafuta matatizo tu
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 Jun 3, 2013 #5 duuh! kweli aliyeumba anastahili sifa! naogopa san kifo cha kwenye maji mie.........
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jun 3, 2013 #6 Never give up said: Kula hii kitu ni kutafuta matatizo tu Click to expand... Mkuu inawezekana ana supu nzuri sana!
Never give up said: Kula hii kitu ni kutafuta matatizo tu Click to expand... Mkuu inawezekana ana supu nzuri sana!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,548 Jun 3, 2013 #7 Anapatikana wapi huyo, nionje mchemsho wake...
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jun 3, 2013 #8 Mkuu MziziMkavu vipi huyu samaki anafaa kwa kitoweo?kwa macho tu nimemtamani sana kumla supu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jun 3, 2013 #9 Baba V said: Anapatikana wapi huyo, nionje mchemsho wake... Click to expand... Teh teh teh!baharini!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jun 3, 2013 #10 Paloma said: duuh! kweli aliyeumba anastahili sifa! Click to expand... Precisely mkuu!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Jun 3, 2013 #11 Nahisi kama huyo samaki ni kharamu kuliwa. Maalim MziziMkavu naomba unielimishe nisipotoke. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jun 3, 2013 #12 watu8 said: Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri... Click to expand... Teh teh teh!na wale wanakula supu ya kambi ya fisi wangejulikana!
watu8 said: Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri... Click to expand... Teh teh teh!na wale wanakula supu ya kambi ya fisi wangejulikana!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jun 3, 2013 #13 King'asti said: Nahisi kama huyo samaki ni kharamu kuliwa. Maalim MziziMkavu naomba unielimishe nisipotoke. Click to expand... Mkuu mbona unapenda kuharamisha vitu bila sababu za msingi?
King'asti said: Nahisi kama huyo samaki ni kharamu kuliwa. Maalim MziziMkavu naomba unielimishe nisipotoke. Click to expand... Mkuu mbona unapenda kuharamisha vitu bila sababu za msingi?
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 Jun 3, 2013 #14 du huyu ukimchoma na kiepe vipi....
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Jun 3, 2013 #15 Ataliwa tu, kama aki[pikwa anaiva? Tena mie nimemtamani wa kuchoma, iwe BBQ King'asti said: Nahisi kama huyo samaki ni kharamu kuliwa. Maalim MziziMkavu naomba unielimishe nisipotoke. Click to expand...
Ataliwa tu, kama aki[pikwa anaiva? Tena mie nimemtamani wa kuchoma, iwe BBQ King'asti said: Nahisi kama huyo samaki ni kharamu kuliwa. Maalim MziziMkavu naomba unielimishe nisipotoke. Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Jun 3, 2013 #16 NA ndizi choma, anashuka sana Afu ukimchoma hawi transparent dav22 said: du huyu ukimchoma na kiepe vipi.... Click to expand...
NA ndizi choma, anashuka sana Afu ukimchoma hawi transparent dav22 said: du huyu ukimchoma na kiepe vipi.... Click to expand...
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Jun 3, 2013 #17 Give a glory to him
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Jun 3, 2013 #18 ..anaonekana mtamu sana,huku kwetu mwanakwerekwe wanapatikana kweli hawa...?? ngoja nienda kuwasaka...
..anaonekana mtamu sana,huku kwetu mwanakwerekwe wanapatikana kweli hawa...?? ngoja nienda kuwasaka...
Mapolomoko JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 1,751 Reaction score 422 Jun 3, 2013 #19 TUKUTUKU said: Mkuu mbona unapenda kuharamisha vitu bila sababu za msingi? Click to expand... Niharamu (najisi) hana mapezi. mambo ya walawi 11:9-12
TUKUTUKU said: Mkuu mbona unapenda kuharamisha vitu bila sababu za msingi? Click to expand... Niharamu (najisi) hana mapezi. mambo ya walawi 11:9-12
MJINI CHAI JF-Expert Member Joined Dec 12, 2010 Posts 2,202 Reaction score 1,229 Jun 3, 2013 #20 watu8 said: Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri... Click to expand... Mkuu kwa huyu samaki tumboni hukuonekani ni transparent....sasa udhahiri wa tumbo la vigogo utatoka wapi?
watu8 said: Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri... Click to expand... Mkuu kwa huyu samaki tumboni hukuonekani ni transparent....sasa udhahiri wa tumbo la vigogo utatoka wapi?