Samaki (Sato) toka Mwanza toa oda yako uletewe

Samaki (Sato) toka Mwanza toa oda yako uletewe

Hivi bei haziwezi kuwa kwa kilo? Maana bora tujue kwa kilo haya ya ndoo tuache
ndoo ndogo ni kilo 10. ambayo tunafanya kwa 80,000/=
mpakiaji anaweza kuzidisha kilo kidogo au akapungusa kidogo kutokana na ukubwa wa samaki
 
ndoo ndogo 80,000/-
ndoo kubwa 140.00/=
box (samaki mmoja) 8,000/-
karibuni
Ndoo ndogo 80,000/=

Ndoo kubwa 140,00=
1476359457960.jpg
 
wapo pia wa kukaanga (bei itatokana na idadi)
sio mikoa yote tunatuma,
zanzibar, dar, mwanza, musoma, kigoma, mtwara, arusha, kilimanjaro.
Mkuu na mwanza unatuma pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom