Samaki Samaki na "Reserved tables"…

Basi watu naona wamepata ajenda ya kutetea jiwe. Jiwe anahusika na nini? Ama ndo mna christmas moja hapa town? Meza kuwa reserved mbona kawaida sana hapa mjini. Ni wewe tu na hela yako. Zama za jk ndo ujinga gani... basi bora zirudi... hao ni regular customers wao na wanatumia hela haswaaa. Usiumie mkuu. Tutafute hela na sisi tureserve meza

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ni moja ya tamaduni za nchi za Ulaya. Kwa maoni yangu hizi si tamaduni ambazo waafrika tunatakiwa kuziiga. Zinachochea rushwa na urasimu.

Samaki Samaki waache hizi tabia za kimagharibi ambazo haziheshimu tamaduni zetu.

Kwa upande mwingine ni kuwa hizo meza reserved huwa zinakuwa zimebukiwa na anayebuku hutoa kianzio fulani kitu ambacho kibiashara kiko poa sana tu.


Hivyo kwa kumalizia nakaa Neutral.
Kama mtu unaona Samakisamaki wanakuudhi tafuta kiwanja kingine kinachokufurahisha.
 
Hv unajua reserved ni shnhap samakisamaki??
Dude stay on your lane aiseee hii ni mninu pia ya kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…