Yaani Umepeleka Cash Halafu Unaonekana Kama SakaraHii si sawa kabisa.
Unakunywa kabia kamoja tu wenzako wanatumia milion 8Yaani Umepeleka Cash Halafu Unaonekana Kama Sakara
Unashangaah meza. Tuliashaambiwa bar imefungwa na tuaona watu wanacheza quato
Haa Teh, Wote Wanapeleka CashUnakunywa kabia kamoja tu wenzako wanatumia milion 8
Asije akafanya fujo maana atapigwa na jela itamuusuMwambie kiongozi bila shaka ana CHRISTMAS chache hapa town.
KabisaEnzi za JK Zimerudi, pole mkuu
Unashangaah meza. Tuliashaambiwa bar imefungwa na tuaona watu wanacheza quato
Ata sio gharama kuweka reserve siku nyingine piga nawe simu uwekewe
Huwezi chagua mteja kama anaweza kulipaUkiona hivyo ujue ww bado, tafuta hela kijana acha malalamiko