Samaki nilomla ni wa kichina nini??

Nyie watu mubaya sana!!!
Mimi siwezi kuelewa kama mnavyotaka nielewe. Thamaki ni thamaki, ni kitoweo tu.... thio hayo mambo mengine ya wakubwa....
 
naureen samaki wa kichina hana shombo= totoz/shape/**** ya kichina haina shombo wewe ulidhani samaki fish siyo hiyo ni tafsida au nd'o ulisomea akkademia za saint kanumba etc
ama sivyo wenye mada?
Nyie watu mubaya sana!!!
Mimi siwezi kuelewa kama mnavyotaka nielewe. Thamaki ni thamaki, ni kitoweo tu.... thio hayo mambo mengine ya wakubwa....
 
Bahati mbaya nimejifunza kiswahili katika miaka kumi na tano iliyopita. Muda mwingi nimeishi nje ya tz, kwa hiyo kuna vitu vingine sivifahamu.
 
dah, hii ni PhD ya tafsida.

ni kweli mkuu, shombo la samaki lina raha yake. linaonyesha kuwa kitu ni natural, ni pure, yaani bado kuchakachuliwa. haya mapafyumu, ma udi na sijui madeodorant ndiyo yanayomaliza shombo! samaki bila shombo si samaki asilani. hata wa kichina shurti awe na shombo. kama huyo uliyemla hakuwa na shombo, basi hujala samaki mkwe wangu!


Mkuu thank you again...ujue huyu samaki niliomla mhhhhhhhhhhhh nilihisi kitu kinapungua lkn sikujua ni nini, baada ya kumaliza na kunawa mhhhhhhhhhhh aha nikakumbuka kumbe hakuwa na shombo...
 
Ni mapishi tu.
Kuna namna nyingi za kumwandaa samaki ila labda umezoe michemsho ya samaki, ha ha ha!

Kwa mfano samaki wa kuchemshwa na kutengeneza supu ana shombo zaidi, kuliko aliyechomwa kwenye mafuta bila spices kisha akaungwa na kutengeneza stew (kiingereza cha Tz wanaita Rosti).

Pia hiyo rosti inaweza kuwa na ladha tofauti kama wakati wa kumchoma kwenye mafuta, spices kama ginger (tangawizi) na cardamom (iriki) zilitumika. Huo ni mfano tu kwa kufuata mapishi ya kibongo, Sasa ukichanganya na mapishi ya kihindi, Kiitaliano, Kijapani, kichina, kiarabu, kipersia, au latin america, utashangaa unakula samaki mtamu tu lakini shombo hakuna kabisa.


Shombo lazima liwepo mkuu, utakimbia weee bila shombo huyo si samaki mkuu...sijamsikia Rev akichangia hapa...
 
Kelewa uzuri kabisaa.Kila kabila lina jinsi yake ya kuandaa samaki jamani! Ila bila shombo kiduchu sijui kama utajua kama ni samaki,beef au kitimoto.Manake hata shobo (aroma) ya kolekole tofauti na prawns!

Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hata mimi naona Nanren yeye anaongelea 'samaki' wa majini wakati thread imetumia neno samaki kama kiwakilishi (tafsida) kupunguza makali ya mnakasha (mjadala)


Dat mkuu wangu heshimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbeleeeeeeeee
 
Jamani hili ni jukwaa la mapenzi na mahusiano, kwa hakika mtoa thread hamaanishi biological fish, nadhani hapa samaki inasimama badala ya DEMU. Ni tafsida ya hali ya juu sana. Nilipokuwa mdogo nilikuwepo(bila ruhusa, kipindi nipo darsa la tano, achana na kizazi hiki enzi hizo hatukujua mambo mapema) kwenye kikao kimoja cha usuluhishi wa ndoa, "Mume akilalamika Mke hataki kutandika Kitanda, hataki nivute sigara", nilitoka nikiwa nimeelewa tofauti kumbe watu walikuwa wanashuluhisha mke kumbania mme tendo la ndoa, nilikuja jua baadaye sana.


Soma embe na Bata mkuu am there for really....
 
raha ya samaki angalau kawepo kashombo kwa mbali wangugu.......... hata kama angekuwa wa kichina, sombo muhimu............. otherwise kwangu ni big nooo.................


Mkuu umenena, acha waweke vimbwanga lakini bila shombo mhhhhhhhhhhhhhhhh
 
na utamu wa samaki ukimla sharti umgeuze, wala upande 1 ukisha wambirua wamla na upande wapili,basi hapoo rrrraaahaaaa,hata shombo au vumba hulisikii unakula mpk miba.


Mkuu umenifundisha kitu kimoja hapa, samaki kwetu ziwani mwanza lazima umwanzie Kichwani kumla....wacha bwana utamu huo....
 
chapa nalo jr, umeenda offtopic!
now back to topic...ukienda kutembea ufukweni mwa bahari unapata upepo mwanana wenye harufu ya bahari, na ndo raha ya kutembea ufukweni!
kama hamna harufu itakua swiming puli na sio bahari.


Wasema kweli weye mkuu...senki yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Nyie watu mubaya sana!!!
Mimi siwezi kuelewa kama mnavyotaka nielewe. Thamaki ni thamaki, ni kitoweo tu.... thio hayo mambo mengine ya wakubwa....


Nanren jaribu ule samaki wa kichina weye utajua nini tunaongelea jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom