Samaki mkunje angali mbichi

Mimi ninaye mmoja akiona wageni anakuwa kichaa japo anajua kuwa wakitoka atapata kipigo. Sijui huwa ni kwa nini.
Mpe kipigo hapo hapo anapojitoa ufaham kesho harudii akijisahau pale pale anakumbuka kipigo lazima atakuangalia usoni, akikuangalia kunja uso uone atakavyovunga halafu timua nje. Hiyo Ni tiba tosha kwa hawa binadam, nakuhakikishia harudii, wageni wakijidai kumtetea waambie ukweli mkitoka hapa mtasema nalea Mtoto vibaya
 
Kupiga watoto mbele ya wageni siyo vizuri.
 
Mkuu malezi ya Mtoto ni magumu Sana, hivyo inategemea na uelewa wa Mtoto, huyu wako anajua kabisa humfanyi kitu hadi wageni waondoke ndio maana anajichengue
Adhabu kwa mtoto ni lazima iwe na kiwango. Kumpiga sana mtoto kunampunguzia self-esteem. Na anapokuwa mkubwa anakosa kujiamini. Hawezi kusimama mbele ya watu na kujieleza bila kutetemeka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom