Nimetoka kula jana samaki wa moshi namna hii.hawa ndo samaki halisi.wabongo siku hizi mnauziwa vibua wa nyama sijui,hao ni samaki fake wanaletwa na wachina pale ferry wakiwa frozzen halafu wanaachwa wayeyuke kisha anauziwa muuzaji wa rejareja ndio mnaletewa huko mitaani