samaki Aina ya GOGO

Hao samaki wote wanapatikana bdo wapo. M nko wilaya ya bukombe, ila huku wanakuja wale wa moshi hao sjui nembe, gogo na wengne wapo
 
haitwi gogo anaitwa gogogo........ila kusema ukwel hakuna samaki mtamu kama soga na ningu..........!
 
Wapo wengi kama uyoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…