Samahani: Njooni mnishauri kwa makini...

Utapewa ushauri wa kutosha tu lakini mwisho wa siku wewe ndo utayefanye maamuzi.

Follow your heart bt always remember to carry your brains with you
 
Huyu namjua mkuu alichemka akarudi asaivi anapiga bodaboda bolt😂
Yupo wapi na alirudi lini na alichemka nini ilikuaje akarudi? Sasa huyo ndio wa kukupa ABC kuishi kwenye mabanda ya kufugia kuku mchezo
 
Katika maisha yako kama kijana mdogo wa miaka 20+ kuwa na ndoto ya siku moja kuwa Bosi, na siyo kibarua (mlinzi/house boy /mfanya usafi) wa Mabosi wengine.

Sijui umenielewa!!!
 
Yupo wapi na alirudi lini na alichemka nini ilikuaje akarudi? Sasa huyo ndio wa kukupa ABC kuishi kwenye mabanda ya kufugia kuku mche

Katika maisha yako kama kijana mdogo wa miaka 20+ kuwa na ndoto ya siku moja kuwa Bosi, na siyo kibarua (mlinzi/house boy /mfanya usafi) wa Mabosi wengine.

Sijui umenielewa!!!
Mkuu hizo KAZI inakuwa njia ya kupata mtaji Zaidi wa kufikia malengo au?
 
Yupo wapi na alirudi lini na alichemka nini ilikuaje akarudi? Sasa huyo ndio wa kukupa ABC kuishi kwenye mabanda ya kufugia kuku mchezo
Huyu alivoenda kule akawa anafanya KAZI za online kuagiza bidhaa nakumbuka Kuna Uzi aliandika maisha yamemshinda

Akarudi asaivi anapiga bodaboda Sasa Mimi sitaki kujifunza kwa waliofeli watanikatisha Tamaa mkuu au😂
 
UAE kuwa mlinzi?
Be serious bwana, Fanya biashara acha kukurupuka. Biashara inakuwa haswa ukikaa mwenyewe bila kuwa na mambo mengi.
 
Sasa mkuu kama utakuwa mlinzi UAE na utalipwa 1.5m Kuna shida Gani?
1.5 unaiona kubwa?
Mishahara inalipwa kutokana na nchi yenyewe lakini daily expenses na gaharama za maisha unakuta ni kubwa hivyo utajikuta Kama unalipwa 300,000 kwa mwezi.
 
1.5 unaiona kubwa?
Mishahara inalipwa kutokana na nchi yenyewe lakini daily expenses na gaharama za maisha unakuta ni kubwa hivyo utajikuta Kama unalipwa 300,000 kwa mwezi.
Hapana
Hapo accommodation zote kwa boss makazi
Usafiri
Na bima

Wewe ni chakula tu mkuu
 
Maliza shule kwanza ,pili komaa na biashara yakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…