Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,281
- 31,413
Kweli ni mimi na hapa najibu nikiwe makaburini nimezikwa
Nakubaliana na mjumbe mmoja aliesema kuwa kujiunga JF kuwa kwa interview, umri na mimi naongeza hili kuanzisha thread lazima kuwe na gharama kidogo otherwise tutajikuta JF inageuka kuwa kijiwe cha watoto kiakili na kiumri au kimojawapo kati ya hivyo
Mkuu we kuwa free,kuna wakati niliwahi kuona JF chungu,yaani kila jukwaa ukiingia unapewa za uso,mara ya kwanza ukijiunga inahitaji moyo but ukizoea na wewe unampa za uso halafu usawa unakwepo......hapo wanakufundisha ili uzoee,we kuwa free kupost.Samahanini wadau wa JF,,mim ni mgeni kweny hii Jamii..
Nikiwa nafungua hii sehemu nilitegemea kukutana na Aina ya jumbe ninazokutana nazo(post)..lakini wanajamii wengine inaonyeshwa hawafurahishwi na wa AINA ya hzo text, nilitamani kuwachekesha na za kijiwe kama hzo lakini sitafanya hvyo tena mpaka wana Jamii mtakaponiambia kinatakiwa nin hapa..
Kwani text kama hzi sizikuti ktk HOJA, SIASA,AJIRA na nyingine kama hzi..
Tafadhari nifahamisheni hapa kweny Jokes/vichekesho kunatakiwa nini hasa.. 2punguze malumbano ila 2elimishane kwa lengo la kujenga JaMiI BORA zaidi..