Samahani nilifikiri umekufa

Wabongo ubishiiii,nina swali,jukwaa hili linaitwa la nini,
 
mi sioni haja ya kujaza matusi humu. Kwa mtizamo wake ameona inachekesha akaamua kushea na sisi so kama haijakuchekesha ipotezee.
 
Nakubaliana na mjumbe mmoja aliesema kuwa kujiunga JF kuwa kwa interview, umri na mimi naongeza hili kuanzisha thread lazima kuwe na gharama kidogo otherwise tutajikuta JF inageuka kuwa kijiwe cha watoto kiakili na kiumri au kimojawapo kati ya hivyo

We utakuwa fisadi pweza, yaani kila thread tulipie, mafisadi watajaza upupu humu, na wanaweza kuchaji gharama ya thread kwa $..this z forum acha wa2 watomboke
 
vichwa vingine aisee.....yaan ili mradi umepost tuu....post ziongezeke kwa upupu kama huu.
 
Samahanini wadau wa JF,,mim ni mgeni kweny hii Jamii..
Nikiwa nafungua hii sehemu nilitegemea kukutana na Aina ya jumbe ninazokutana nazo(post)..lakini wanajamii wengine inaonyeshwa hawafurahishwi na wa AINA ya hzo text, nilitamani kuwachekesha na za kijiwe kama hzo lakini sitafanya hvyo tena mpaka wana Jamii mtakaponiambia kinatakiwa nin hapa..
Kwani text kama hzi sizikuti ktk HOJA, SIASA,AJIRA na nyingine kama hzi..
Tafadhari nifahamisheni hapa kweny Jokes/vichekesho kunatakiwa nini hasa.. 2punguze malumbano ila 2elimishane kwa lengo la kujenga JaMiI BORA zaidi..
 
Mkuu we kuwa free,kuna wakati niliwahi kuona JF chungu,yaani kila jukwaa ukiingia unapewa za uso,mara ya kwanza ukijiunga inahitaji moyo but ukizoea na wewe unampa za uso halafu usawa unakwepo......hapo wanakufundisha ili uzoee,we kuwa free kupost.
 
We kichwa maji kwani umeingia kufanya nn kwenye jukwaa la jokes'mnajifanya mpo serious kumbe hata kusoma hamjui mnabofya tu'pumbafu'humu ni jokes mdudu wewe.
 
Hata mimi niliiona hiyo picha lakini nilipofuatilia mpaka chumba cha maiti pale Muhitatu hospital ndo nikagundua kuwa kumbe huyo aliyekufa sio mimi!Kweli duniani wawili wawili,ila sasa hapo nimebaki mwenyewe huyo wa pili ndo amekufa!
 
huyu atakuwa amepata kitu cha malawi tena kilichosindikwa na mavi ya ngombe si mchezo teh teh teh teh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom