Samahani nilifikiri umekufa

Samahani nilifikiri umekufa

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Msomaji wa uzii huu picha yako nimeiona katika kipindi cha kumbukumbu tbc,cha watu ambao walikwisha fariki sasa sina uhakika kama ni wewe ,ila kama siyomewe nisamee kumbe duniani ni wawiliwawili ......................pole sana.
 
Kenge kweli wewe!
Rudi fesibuku kafanye upuuzi wako huko na watu wa aina yako.
Msomaji wa uzii huu picha yako nimeiona katika kipindi cha kumbukumbu tbc,cha watu ambao walikwisha fariki sasa sina uhakika kama ni wewe ,ila kama siyomewe nisamee kumbe duniani ni wawiliwawili ......................pole sana.
 
Mi nimefanana na mfu ila we umekufa kiakili.This is jf bana not kidscorner.
 
Kuna watu wana vichwa vikubwa lkn Mungu alikosea akawapa akili za mbu
 
Nakubaliana na mjumbe mmoja aliesema kuwa kujiunga JF kuwa kwa interview, umri na mimi naongeza hili kuanzisha thread lazima kuwe na gharama kidogo otherwise tutajikuta JF inageuka kuwa kijiwe cha watoto kiakili na kiumri au kimojawapo kati ya hivyo
 
Sura yangu halic umeiona mpaka unifanishe? Nyau wa maziwa ww..! Unadhan apa facebook?
 
jamani hivi kawalazimisha kusoma??mbona mnapoteza muda wenu kuchangia upuuzi kwa matusi.au na nyie ni wapumbavu?
 
duuh! raia mna hasira kweli, i hope mngekuwa mnamjua. mngemmwaga mavi.
 
Back
Top Bottom