Nahis kama huna embu changamkia furs a hii
changamkia fursa
hakikisha unajitambua tu.
Kumbe ....
Kwani wewe hufai nikuoe?
Nina umri wa miaka 20 na kwa sasa nahitaji kuwa na mpenzi ambaye ni lazima aje kunioa
SIFA
1.awe anajitambua yeye ni nani na anatakiwa afanye nini.
Hivyo kama wewe ni mwana jf mwenzangu rafiki yangu ktk pm naomba unipeushauri juu ya hili suala langu
nimeona nitafute mpenzi mapema ili niweze kupata familia yangu
#love_iz_must_if_u_have_feeling
Kumbe ....
Kwani wewe hufai nikuoe?
Huyu anaonekana Mkurya .....
Mambo ya ngumi mi siyawezi
Hebu nipe namba ya "dingi" yako nijiuvuzishe kwenu wakanitambue kabisa....lol!
At twenty I was still a virgin. Studying hard at college, doing my Daddy proud. mh. haya.
Naanguka jamani nidakeni!!
Mi nshazeeka chukua dogodogo huyo
Naanguka jamani nidakeni!!
Kwani nimekuambia kuwa nataka dogodogo?
huwa siweki details zangu kamili mitandaoni
nimekudaka na ukome tatizo lako umbea kwa watumishi
I know you know what is going on here ....!!