Wanaume jaman,kidogo tu PM 50, sa sijui wote hawa hawana wapenzi!
catch u!Nashukuru am not among them/
Sitaki kazi nowdays pia sitaki dem/
Maana nimekimbia kuchunwa sitaki kuwa ATM/
Mke mwema hapatikani inbox wala kwenye pm/
Wanaume jaman,kidogo tu PM 50, sa sijui wote hawa hawana wapenzi!
catch u!
Aisee hahahahah! Umeanza kuwaanika taratibu! Kwani wewe hitaji lako lilikuwa ni nini? UngeFurahi kukosa kabisa PM?Wanaume jaman,kidogo tu PM 50, sa sijui wote hawa hawana wapenzi!
Nipeni ushauri jamani