Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

Vannesa

Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
49
Reaction score
5
Nina umri wa miaka 20 na kwa sasa nahitaji kuwa na mpenzi ambaye ni lazima aje kunioa
SIFA
1.awe anajitambua yeye ni nani na anatakiwa afanye nini.
Hivyo kama wewe ni mwana jf mwenzangu rafiki yangu ktk pm naomba unipeushauri juu ya hili suala langu
nimeona nitafute mpenzi mapema ili niweze kupata familia yangu
#love_iz_must_if_u_have_feeling
 
Dada mbn umri wako bado mdogo kwanin usiende shule hili baadae uje kupata kazi nzuri na wanaume watakutafuta wenyewe kuliko kutafuta humu jukwaani
 
unatafta mpenzi ambae baadae ni LAZIMA aje kukuoa?
 
Dada mbn umri wako bado mdogo kwanin usiende shule hili baadae uje kupata kazi nzuri na wanaume watakutafuta wenyewe kuliko kutafuta humu jukwaani
nipo ualimu mwaka wa pili naingia hapa naomba ushauri tu,na siwezi kumpata mtu wa humu
 
Nina umri wa miaka 20 na kwa sasa nahitaji kuwa na mpenzi ambaye ni lazima aje kunioa
SIFA
1.awe anajitambua yeye ni nani na anatakiwa afanye nini.
Hivyo kama wewe ni mwana jf mwenzangu rafiki yangu ktk pm naomba unipeushauri juu ya hili suala langu
nimeona nitafute mpenzi mapema ili niweze kupata familia yangu
#love_iz_must_if_u_have_feeling

je wewe unajitambua?
 
life settles itself jenga maisha yako kwanza bora ungeomba ushauri forums za mathinker wa nje e.G NAIRALAND FORUM hapa ni sexinspiration ,kuwaza papuchi na usumbufu plus ujinga
 
Back
Top Bottom