Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

Mie ushauri wangu jiendeleze kielimu kwanza ili uweze kujisupport mwenyewe. Wanaume wapo tu hawaishi kama umeandikiwa kuolewa basi utaolewa tu pia kumbuka kujitunza badala ya kuruka huku na kule na wanaume tofauti tofauti. Usiku mwema.
 
Sasa umeamua kutafta mpenz, umezaliwa 1995 na una miaka20, ushauri unaotaka ni upi? Afu unataka anayejitambua ingawa mwenyewe haujitambui izi ni jangaz..
 
Sijawahi kuwaza mwenza anapatikana kwa kuandika na kutangaza unamtafuta. Inatokeaga tu. Mara nyingi ambao hawastahili ndo wana mbinu nzuri za kuwanasa watu dizaini yako zaidi ya wale ambao ndo sahihi
 
Back
Top Bottom