Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

nimegundua sababu zifanyazo Sky Eclat anikatalie kumbe hataki ujinga huu ambao unafanywa na hawa watoto wa siku hizi, wakuu kwani kutongozana na kukulana si mambo nje ya majukwaa kwani kuna ulazima gani uje utuambie kuwa ulimkula flan na flan mwenye ID yenye sifa flani? ka mkizinguana zinguaneni huko huko yahuko wabaki huko bana, yan PM hakukai sawa kumbe ninyi ndo mnatikisa mitego yangu inafyetuka yenyewe kila siku 😀😀😀😀 asubuhi nasubiri mwingine ila msitunge ka huu
 
Dah ndugu yako Cardio alimwambia felister anavaa sijui yeboyebo na saa ya 5000 ,kucha chafu sijui ngozi imefubaa anahitaji minerals au sijui vitamini

Hapo ni baada ya Felister kuweka picha yake jamaa akaitia kwenye VAR
Bado tuu
 
Kwahiyo ukiwa mweusi mwenye sura mbovu huruhusiwi kujiunga JF kwa wadada?
Kabisa mkuu!! Hata mimi nashawishika kuamini hivi.

Wadada wengi wa humu wabovu kinyama, kwanza wengi wao ni weusi kama ngozi ya goti, sura zao sasa kama wamelamba ndimu hata make ups zinawakataa.

Watu humu wanababaika na hizi avatar fake wakati ukikutana nao mtaani huko unaweza ukasema umekutana na Nyamaume[emoji41][emoji41]!!
 
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.

WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.

SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.

SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.

ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.

TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.

Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.

NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.

BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.

ILA CHA AJABU ZAIDI LEO NIMEONA UZI WAKE HUMU JF KAANDIKA UONGO NA KAACHA KUANDIKA UKWELI KUHUSU TUKIO ZIMA.

Hivi umesharudi Mwanza au bado upo Dar?
Mwongo wewe hakuna gari kutoka mwanza itafika Dar saa Tatu usiku, tena zuberi huwa inachelewa sana zamani yalikuwa yanalala Moro, sasa hivi gari za Kwanza toka mwanza zinafika saa sita usiku. Acha kabisa fix
 
Halafu mbona naona wanawake ndio wana muattack huyu msela? Wakati kwenye ule uzi mwingine hawa hawa walikuwa wana mpongeza na kumuona shujaa cute love.

Yawezekana kweli mademu wa JF ni vizibo na wengi wako kama huyo cute love jinsi alivyoelezewa na mleta mada.
Mkuu kwenye mitandao ukiona member wa kike anajiita sijui pretty...., cute...., queen...., n.k ujue tu ni kinyume chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom