Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ngoja Achukue Mkoba Wa Uganga Pakuche
UtajijuIle yeboyebo sasa [emoji23][emoji23][emoji1787]
Ila kama mwanaume anashindwa kutunza privacy zake sidhani kama ataweza kujitunza hata kwenye usafi wa mwili wake.Unadhani wanawake watakusikiaa wakishabebishwa humu na kupewa likes utaona tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Twende zetu kwa anko tu bora
Teh ...Huyo aliyetoka out na yeboyebo ni ke au me?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]malori ya mafuta yanazidi kulipuka tuu jomoniii,.
Vichwa vya kuku kumbukumbu zinapotea mda mchache.Unadhani wanawake watakusikiaa wakishabebishwa humu na kupewa likes utaona tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Twende zetu kwa anko tu bora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Siku ya leo kila nikigusa jf nakumbana na kali.
Anyway mikoba ya ..hhh
Mkuu kwenye mitandao ukiona member wa kike anajiita sijui pretty...., cute...., queen...., n.k ujue tu ni kinyume chake.
Heshma yako bwana mfalme😄Unapowasha msitu jihadhari moto usijekukuzunguka.
Bora nibaki kuwa kimya
Kwa roho nyeupe nimeamua kusitisha mambo ya jfDah ndugu yako Cardio alimwambia felister anavaa sijui yeboyebo na saa ya 5000 ,kucha chafu sijui ngozi imefubaa anahitaji minerals au sijui vitamini
Hapo ni baada ya Felister kuweka picha yake jamaa akaitia kwenye VAR
Nimeshauri JF ifungwe kwa muda watu waende likizo, mkaniona bwege
Daah😂😂😂😂mateja wako motroooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenza umejiongeza sana.
Uzi upi huo nikaucheki 😃😃😃Kuna mmoja aliazishiwa uzi na Da Jane Jamanii picha ilipo letwa nilizimia jamaa mwembamba mfano wa moja macho sasa kama kamwagiwa damu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo wanaume wa jf mahandsome,wana pesa sanaa
Hivi zile picha wanaume wa humu wamekutana kwa ontario nani anazo tujikumbushe jamani
Jamani mtu alipitwa akahitaji replay ,tushatoka huko sasa hivi tupo hapa kesho sijui itakuwa kwa naniBado tuu
Mimi nimeunganisha kabisa na majibu ninayo![]()
Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia...www.jamiiforums.com
Nataka Kuunganisha Dots Kidogo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Eti kamwagiwa damu.Uzi upi huo nikawacheki [emoji2][emoji2][emoji2]Kuna mmoja aliazishiwa uzi na Da Jane Jamanii picha ilipo letwa nilizimia jamaa mwembamba mfano wa moja macho sasa kama kamwagiwa damu.