Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,901
- 209,994
Nilimpa na tena nikamuita na mkaka ( japokuwa nilikuwa simfahamu) aje athibitishe tuhuma zakeWakati dada anaanika kule ulimpa huu ushauri ? Mdau kaona naye aje kujibu mapigo
Nilimpa na tena nikamuita na mkaka ( japokuwa nilikuwa simfahamu) aje athibitishe tuhuma zakeWakati dada anaanika kule ulimpa huu ushauri ? Mdau kaona naye aje kujibu mapigo
Huyo aliyetoka out na yeboyebo ni ke au me?
Acha upepo upite, ukiisha tutakaa sawa tu
Wewe unaona nani mkweli kati yao ?Nilimpa na tena nikamuita na mkaka ( japokuwa nilikuwa simfahamu) aje athibitishe tuhuma zake
Ama hakika leo nimecheka kama mjinga kwenye huu uzi. Naona kwa jicho la mbali mambo yanaenda kuwa magumu humu.Wanafuta hiki kinakuja kingine hata sisi tutalala hoiii leo [emoji1787][emoji1787][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Dah ndugu yako Cardio alimwambia felister anavaa sijui yeboyebo na saa ya 5000 ,kucha chafu sijui ngozi imefubaa anahitaji minerals au sijui vitaminiDuh kuna yeboyebo pia?
Kabisa mkuu!! Hata mimi nashawishika kuamini hivi.
Wadada wengi wa humu wabovu kinyama, kwanza wengi wao ni weusi kama ngozi ya goti, sura zao sasa kama wamelamba ndimu hata make ups zinawakataa.
Watu humu wanababaika na hizi avatar fake wakati ukikutana nao mtaani huko unaweza ukasema umekutana na Nyamaume[emoji41][emoji41]!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Mbona kazi ipo humu.Felister
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Mbona kazi ipo humu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Mengine sikuwahi kuyajua ila kama watu wamefika huku tunahitaji kuwa makini na watu tunaoamua kushirikishana kwenye maisha yetu halisi.Dah ndugu yako Cardio alimwambia felister anavaa sijui yeboyebo na saa ya 5000 ,kucha chafu sijui ngozi imefubaa anahitaji minerals au sijui vitamini
Hapo ni baada ya Felister kuweka picha yake jamaa akaitia kwenye VAR
Duh aisee nimecheka mpaka nimezimia jamani duh eti elfu 7800