Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Ni bora ukatongoze Facebook kuliko JF..amna mademu umu .
tapatalk_1544266636863.gif
 
Ila mimi ingekuwa uwezo wangu hizi nyuzi zisingekuwa zina futwa ili kutunza record na kuwafanya watu wawe makini zaidi.
 
Nakazia wadada wengi wa humu ni wabovu kupindukia na ni wana njaa kwelikweli...

Nashangaa kuona watu wanashupaza shingo kuwatetea...
Naunga mkono hoja, baada ya watu wahoji juu ya ukweli wa habari hii wengi wanamponda mdau,kwa mtindo huu unakuta ukweli unafichwa.
 
cutelove MAGALLAH R mmekutana wote akili zenu fupi, watu wazima mnaojielewa mnaleta vipi mambo yenu ya PM hadharani?!! Mlivyoanza kutongozana mpaka mnakubaliana kufatana mbona hamkutushirikisha?!! Yamewashinda huko ndio mnakuja kuanikana hapa kama mazombi.
Acheni uswahili
Wakati dada anaanika kule ulimpa huu ushauri ? Mdau kaona naye aje kujibu mapigo
 
Kwahiyo tangu juzi ulijifungia ndani kutunga hadithi hii? Haya tumesoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom