Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Hivi ningesoma huu uzi nikiwa kwenye umati wa watu wewe mleta mada ungewaambia nini watu?

JF imekuwa sehemu ya watu kushusha mizigo yao, japo nahisi mtoa mada ni kama katumia fursa hii ambayo ilikuwa wazi humu.
 
Unajua kwa sisi wasomaji ukiangalia uzi huu na uzi wa yule mrembo kisha ukatoka na jibu moja unakuwa umejifunza kitu kikubwa sana achilia mbali kuhusu ukweli au uongo wa haya wanayotusimulia.

Hitimisho langu kwa watu hawa wawili ni kuwa ....................
 
Jamaa hajitambui anazingua na kuhaibisha wanaume.

Anatafuta kiki JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom