Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,901
Hia wi go ageini...
Jizazi...
JF hii imepatwa na nini?
Jizazi...
JF hii imepatwa na nini?
Hali ni mbaya hapa JF...Hahaha hatimae umekuja!
Simba hao na wenzao man u😂😂Leo kuna nin humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Huku hapafai bro, ni heri turudi kwenye Uzi wetu uleHali ni mbaya hapa JF...
Mkuu mbona uko bize unafukua makaburi?![]()
Baba Nasma popote ulipo nenda Rashka Lodge usiku huu haraka sana
Nadhani sheria za jf haziniruhu kutaja ID yako kamili unayotumia humu na Mimi pia sintofanya hivyo kwa kulinda maadili na heshima yako. Kama utafanikiwa kuuona Uzi huu kabla haujafutwa basis itakuwa bahati kwako. Ni hivi baba Nasma(baba Hussein, baba Omary) maana una watoto watatu. Nenda Rashka...www.jamiiforums.com
![]()
VaginaApp ni kiboko ya wasaliti wote. Download sasa.
Ni Application mpya kabisa iliyogunduliwa na mtaalamu kutoka London mwenye asili ya kiisrael anayeitwa Harry Williamson Baker. App hii husaidia sim ya mtu aliyeidownload kuanza kupiga kelele na kuita mlio wa kipekee kama mtu huyo anasalitiwa na mke au mchumba wake. MFANO:- Kama utafanikiwa...www.jamiiforums.com
![]()
90% ya watu wa humu wameshaonja au kuonja tigo na 10% wanatamani kuonjwa au kuonja ila wanakosa fursa tu.
Tafiti hupingwa kwa tafiti na sio kwa kelele. Ukisoma post na koment za watu wengi humu utagundua kwamba watu wa humu ni waathirika wakubwa sana wa mtandao wa tigo. Nimesoma post 76086 na koments 256521 zimenipa jibu kwamba tuna uhaba wa marinda humu ndani. Watu wengi humu ni marindaless na...www.jamiiforums.com
![]()
Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu
Ni rahisi sana kumjua mwanamke ambaye ni bikra kwa kumuangalia tu usoni. Hii ni elimu tosha sana kwako wewe mdau. Hivi ndivyo viashiria vya mwanamke bikra: 1. Mwanamke bikra huwa anakimbonyeo kwa mbali katika paji lake la uso kati ya macho yake mawili. 2. Mwanamke bikra huwa anatoa harufu...www.jamiiforums.com
![]()
Kama mume wako au mke wako ni mfupi kwa kimo basi inakupaswa uwe mvumilivu sana
Hili halina ubishi kabisa. Watu wafupi kwa kimo aisee wanagubu sana. Niwe mkweli sijawahi kujua ni kwanini wapo hivyo. Kuwa na mke au mume mfupi kwa kimo ni darasa tosha kabisa na inahitaji uwe na roho ngumu sana. Kwanza ni wajuaji sana. Wakianza kuongea hawamalizi watashinda wanaongea kutwa...www.jamiiforums.com
![]()
Leo nisipokufa basi sifi tena
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO. Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo...www.jamiiforums.com
Hhaha kama yule aliekuwa na ID tatu ndani ya uzi mmoja, anacomment, anakuja anajiqoute mwenyewe ili mradi atimue vumbi JF.Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Tunza heshma yangu tafadhali...Mlionitongoza ninaapa yote tuliyoongea PM sita yatoa
Tena iko kwenye gobletTunza heshma yangu tafadhali...
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
ILA CHA AJABU ZAIDI LEO NIMEONA UZI WAKE HUMU JF KAANDIKA UONGO NA KAACHA KUANDIKA UKWELI KUHUSU TUKIO ZIMA.
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo Dar?
Mlionitongoza ninaapa yote tuliyoongea PM sita yatoa
Zamani jf haikuwahi kufanana kama hivi. Pamoja na kwamba tulitafunana sana, na haya pia mitongozo ilikuwa haikauki kwenye PM zao...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unapata mvua ya mavi, umu kimenuka leo
Bado unatongozeka Sky au ishatosha? Asking for a friend [emoji16][emoji16][emoji16]Mlionitongoza ninaapa yote tuliyoongea PM sita yatoa
Hiv yule demu nae alituma picha ya mdau ?Tuma picha yake
😂😂😂😂😂Bado unatongozeka Sky au ishatosha? Asking for a friend [emoji16][emoji16][emoji16]
(Joking [emoji870][emoji870][emoji870])
Mlionitongoza ninaapa yote tuliyoongea PM sita yatoa
Kabisa aisee. Kuna hatari ya kuripuliwa humu aisee. We huogopi? [emoji16][emoji16][emoji16]Huku hapafai bro, ni heri turudi kwenye Uzi wetu ule