Samahani kwa kashifa nilizozitoa dhidi ya ifm

ROGERSHINE

Senior Member
Aug 15, 2012
129
82
Ndugu wana jf,mnamo mwezi uliopita niliandika topic yenye kichwa 'institute of financing more unemployment problem',samahani kwa wale ambao niliwakwaza kwa hiyo post yangu,sikuwa na nia mbaya just nilitaka kuwatania na kuwachemsha watani wangu wa ifm,samahani kwa waliojisikia vibaya kwa hiyo post na usumbufu wowote uliojitokeza,vyuo vyote bongo ni sawa chamsingi ni kukomaa tu
ni hayo tu ndugu zangu wapendwa wa ifm,karibuni mi nipo pale sokoine university of agriculture
ahsanteni saana
 
Sijajua wakiikuta bado ipo watakuelewaje?
Kwenye Magazeti sawa unaomba radhi ukurasa wa mbele sasa hapa JF wanaweza kuitoa / delete masna hata mm nilichangia ntaitoa
Bado za wengine zitakiwepo
 
Bado Zeduduz1 aje aombe radhi yeye alisema ni institute of failure management .hamna shida ,iliniudi sana sana
 
Last edited by a moderator:
daaaaaaah mkuu kwakuwa nimeomba msamaha ,i think guys watakuwa wamenielewa
watanzania wote ni ndugu one love
 
kweli bandugu...hata mimi kwa namna moja ama nyingine..nilikwaruzana na ndugu zangu wa IFM..Samahanini sana na tutakiane Masomo Mema...
 
nilivyosoma ile thread kwel ulinivunja moyo ....tuwe makini na thread tunazoziweka coz JF ni source of information kwa watu wengi....
 
Bado Zeduduz1 aje aombe radhi yeye alisema ni institute of failure management .hamna shida ,iliniudi sana sana

Hapo kwennye blue nilipopita huko nimemwona na yeye yupo ifm sasa sijui kama ni mzima au ana mtindio wa ubongo
 
Last edited by a moderator:
hii inadhihirisha utu uzima na ustaarabu...wadau wamekusikia
kuteleza ni kawaida, sisi ni binadamu sio malaika.

kuna wale watoto wanaowaitaga wenzao vilaza...I believe they'll mature some day!
 
umejiaribia xana we kwanya msom gan unaandka post za kibwege bila kuwa na evidence eti unatania wa wap we kwanza kwa taarfa yako coz za ifm zko unique xana na nina ushahd 80% ya wanafunz wake wameajiriwa shmu km nssf tra pspf lapf gepf na kungne afu fuatilia historia ya chuo kilianzshwa kwa lengo gan au huko sua umepagawa na kucheza na wadudu acha zako samahan n hasira 2 ili zpungue lazma niongee 2mekusamehe
 
Huu ndo Utanzania halisi, unapoteleza unaomba msamaha then maisha yanaendelea, congrats mkubwa

Hajateleza, wenzake wamemgundua na kulazimishwa kufanya hivyo. Jamaa hayupo SUA yupo hapo hapo IFM ila demu wake amerudiana naye. Ukweli unabaki palepale.
 
Back
Top Bottom