Samahani dada, hiyo harufu ni ya nini?

Ulijuaje kama n harufu ya k? Kama n kikwapa tu? Au nguo alizovaa hazikukauka? Embu acha bad perception kwa kila harufu
 
Nadhani ulifanya wepesi sana kumjaji harufu ya k umeijuaje kma sio uwongo

Au unataka kutuaminisha harufu ya k ya demu wko inafanana na harufu ya betina gwajima embu acha zako bhana

Au harufu ya p$mb zako ina fanana na harufu ya abdallah juma
Nooo sio sijafanya wepesi kumjaji. Ni hisia zangu tu na hizi hisia zinakuja baada ya kumuuliza na akashindwa kujibu, Lakini kama sio kweli pia sio mbaya sana inawezekana kuna watu wanatatizo kama hilo na pengine uzi huu unaweza kuwasaidia kujua nini hasa sababu ya matatizo yao. Wala sio kwa nia mbaya ya kumdhalilsha mtu. Ahsante
 
Ila kuna watu wananuka asee, mtu akipita utadhani limepita gari la taka.....
Sijui chumvini watu wanazama vipi
 
Ila kuna watu wananuka asee, mtu akipita utadhani limepita gari la taka.....
Sijui chumvini watu wanazama vipi
Hahahaaaa kweli chief, Na mimi mpaka kufikia hatua ya kumuuliza yule dada it was too much.
 
Mmmh!!! Na ulimkosea kweliiii!!! Ulitakiwa kukaa kimya tu mpaka akashuka na ukaspray gari yako...

Anyway asante kwa video nzuri!!!
 
Harufu ya **** umeisikiaje alivyoingia?
Aliweka miguu kwenye dashboard???

Labda ni nguo zna harufu ya uvundo, si unajua mvua cku hz nguo hazikauki vzuri. .
Au viatu
Mmh kuna watu wananuka papuchi si lazima akupanulie... Ata akisimama kawaida tu!!! Sijui ni ugonjwa!!!
 
Mmmh!!! Na ulimkosea kweliiii!!! Ulitakiwa kukaa kimya tu mpaka akashuka na ukaspray gari yako...

Anyway asante kwa video nzuri!!!
Sure, Natamani aione hii post, Na ajue kuwa sikuwa na nia mbaya ndo maana mpaka nimeposti huku ili walau akiona pengine inaweza kumsaidia.
 
1. Inawezekana alirudia chupi.
2. Inawezekana ni mchafu tu.
3. Inawezekana chupi aliyovaa ni mbichi Dar mvua zinanyesha sasa hivi.
4. Inawezekana ana matatizo ukeeni.
5. Inawezekana aliamkia mpango wa kando na kukurupuka kuja kazini maji hayakuwa muhimu sana kwake.

All of the above maybe possible..




Cc: mahondaw... Get well soon love...
 
Ila kuna watu wananuka asee, mtu akipita utadhani limepita gari la taka.....
Sijui chumvini watu wanazama vipi
Na wewe ndiye mpenda kuwaambia Serengeti boys wazame. Ni shida sana kuwa maskini
 
That was very rude kwa kweli. Mara nyingi tu unamsikia hata office mate ananuka mdomo ama jasho, lakini kutegemea na ukaribu ulionao na mhusika unaweza kuuchuna tu akirudi nyumbani ataambiwa na mkewe.

Asante kwa video imetukumbusha pia. Ila siku hizi watu wananuka midomo jamani hadi mi najistukia mwenyewe. Nyani Ngabu hii ni mtihani haswaa
 
Mkuu asante sana. Maana hapa jirani kuna mtu akianika kufuli lake linakuwa kama shimo la choo. Sasa sijui huko kunako. Akikuvulia pichu lazima uzimie kabisaa. Tunavumilia mengi kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…