Angekuwa hajielew Hata hapo Itv asingeajiriwa. Hivi watanzania mna nini ajira ya mwingine povu utokwe Wewe Pambaneni na hali zenu atii.Hakuna hodari au mfanyakazi yoyote anaejiamini juu ya taaluma yake au kipaji chake anae kimbilia mkataba wa kudumu, wote huwa wanafanya kazi za muda maalum, uyo sam maela hajielewi kabisa utoke itv uende TBC hamna kitu hapo
Mfatilie TBC ONEKitambo sana sijamsikia Sam Mahela, mtangazaji mahiri sana IPP Media hasa ITV na Radio One. Napenda sana akiwa anareport ITV Habari saa 2 usiku. Ana kisauti fulani hivi kizuri sana ila siyo kama cha Kivuyo.
Sam Mahela popote ulipo kaka yangu… big up sana !
Kitambo sana sijamsikia Sam Mahela, mtangazaji mahiri sana IPP Media hasa ITV na Radio One. Napenda sana akiwa anareport ITV Habari saa 2 usiku. Ana kisauti fulani hivi kizuri sana ila siyo kama cha Kivuyo.
Sam Mahela popote ulipo kaka yangu… big up sana !
Mkuu intelijensia yako imetukuka, umewezaje kujua kama mtoa mada ni mwanamke kupitia post yake.Aisee, wee mtu kumbe ni mwanamke...?!!!
"Ana kisauti fulani hivi kizuri sana ila siyo kama cha Kivuyo."Mkuu intelijensia yako imetukuka, umewezaje kujua kama mtoa mada ni mwanamke kupitia post yake.
nimeshtuka pia huyu ni KE kabisa"Ana kisauti fulani hivi kizuri sana ila siyo kama cha Kivuyo."
Na mtu akiwa anakula sharti usimuongeleshe.yupo TBC anakula
Mmh hii comment sijaielewa kabisaAmeungana na ' naniliu ' mwenzie TBC1. Nadhani wale ' Wana / Washkaji ' ambao huwa tunanyoa mara kwa mara katika ile Salon ya Kiume pale Mwenge ipo nyuma cha Kituo cha Mabasi iitwayo CHOGUM mtakuwa mmenielewa sana kama siyo mno tu kwani Kwetu Sisi huyu ' Mtangazaji ' siyo Mgeni Kimatendo. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mmh hii comment sijaielewa kabisa
Hahahah asante kwa majibu yaliyotukuka..nimekuelewaSiku zote IQ's fupi lazima tu zitashindwa Kumuelewa kwa haraka sana GENTAMYCINE ila nina uhakika wa 100% kwamba wale Great Thinkers na Werevu wa Kutukuka wameshanielewa tena vizuri mno tu. Pole sana Mkuu na ukishaona nimeandika tu hilo neno la ' naomba niishie hapa tafadhali ' na nikaliwekea alama Nyekundu jua ya kwamba lina ' Unyeti ' wake na sitoweza tena kuendelea mbele zaidi ya hapo.
Kitambo sana sijamsikia Sam Mahela, mtangazaji mahiri sana IPP Media hasa ITV na Radio One. Napenda sana akiwa anareport ITV Habari saa 2 usiku. Ana kisauti fulani hivi kizuri sana ila siyo kama cha Kivuyo.
Sam Mahela popote ulipo kaka yangu… big up sana !