M Miss Madeko JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 4,420 Reaction score 5,700 May 16, 2018 #121 Nasikitika tuu Sam na zile mbwembwe zake sitaziona maana huko sijui hata huwa ni chanel gani
Bandiwe JF-Expert Member Joined Oct 19, 2013 Posts 9,530 Reaction score 3,556 May 16, 2018 #122 data said: Afadhali.... Maana alikuwa anahoji na kualika maccm tu. Huko kunamfaa. Click to expand... .....mbowe aangekubali ahojiwe ni kivipi alitia gia angani angejibu !?
data said: Afadhali.... Maana alikuwa anahoji na kualika maccm tu. Huko kunamfaa. Click to expand... .....mbowe aangekubali ahojiwe ni kivipi alitia gia angani angejibu !?
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,936 Reaction score 10,561 May 16, 2018 #123 Jf yamejaa machawi na haya ndiyo tunaishi nayo huku urainiani watu wamejaa roho za kwanini sasa nyie inawauma nini
Jf yamejaa machawi na haya ndiyo tunaishi nayo huku urainiani watu wamejaa roho za kwanini sasa nyie inawauma nini
manwest1 JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 225 Reaction score 135 May 16, 2018 #124 Aisee amekula chaka mazima chaliangu.
E erickmichael Member Joined Jan 11, 2017 Posts 45 Reaction score 25 May 16, 2018 #125 Alfa Mwijumbe said: Sasa huyu nae kafuata nini huko? Click to expand... Kitengo mawasiliano mjengoni(Gerson Msigwa ) ,miezi kumi mingi utamuona analipoti ziara Mzee. Channel watu wanafata cyo hera
Alfa Mwijumbe said: Sasa huyu nae kafuata nini huko? Click to expand... Kitengo mawasiliano mjengoni(Gerson Msigwa ) ,miezi kumi mingi utamuona analipoti ziara Mzee. Channel watu wanafata cyo hera
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 May 16, 2018 #126 Nime tune tayari kumshuhudia SAM MAHELA.
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 May 16, 2018 #127 Kilalakheli mkuu
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 May 16, 2018 #128 carcinoma said: Kilalakheli mkuu Click to expand... Tuungame mkuu nyumbani kumenoga
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 16, 2018 #129 Mr. MTUI said: Tuungame mkuu nyumbani kumenoga Click to expand... Ungana na ukoo wako Hatuitaki TBC
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 May 16, 2018 #130 Mr. MTUI said: Tuungame mkuu nyumbani kumenoga Click to expand... Mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni mwaka 2015 kwenye uchaguzi.. JF yatosha kwa habari zote
Mr. MTUI said: Tuungame mkuu nyumbani kumenoga Click to expand... Mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni mwaka 2015 kwenye uchaguzi.. JF yatosha kwa habari zote
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 May 16, 2018 #131 Don Clericuzio said: Ungana na ukoo wako Click to expand... Ha haaa..nyumbani kumenoga mkuu
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 May 16, 2018 #132 carcinoma said: Mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni mwaka 2015 kwenye uchaguzi.. JF yatosha kwa habari zote Click to expand... Leo jaribu mkuu hutajuta
carcinoma said: Mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni mwaka 2015 kwenye uchaguzi.. JF yatosha kwa habari zote Click to expand... Leo jaribu mkuu hutajuta
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 16, 2018 #133 Mr. MTUI said: Ha haaa..nyumbani kumenoga mkuu Click to expand... Hatudanganyikiii
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 16, 2018 #134 Kombe la dunia nitajiunga na ninyi kuwasikiliza Mwalimu Kashasha na Dr Leakey Abdallah. Ila wakimaliza tu uchambuzi narudi DSTV.
Kombe la dunia nitajiunga na ninyi kuwasikiliza Mwalimu Kashasha na Dr Leakey Abdallah. Ila wakimaliza tu uchambuzi narudi DSTV.
Lipijema JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 922 Reaction score 1,451 May 16, 2018 #135 Hiyo idhaa kwa jinsi yeyote ile sitodhubutu kuiangalia hata kama atashuka malaika kuwa mtangazaji.
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,626 Reaction score 61,254 May 16, 2018 #136 Mambo ya fweeeeeeza Hata Jerry Muro Naskia kajiunga Kuwa Shabiki wa Simba kuunga Mkono juhudi za Mzee
Mambo ya fweeeeeeza Hata Jerry Muro Naskia kajiunga Kuwa Shabiki wa Simba kuunga Mkono juhudi za Mzee
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,626 Reaction score 61,254 May 16, 2018 #137 Lipijema said: Hiyo idhaa kwa jinsi yeyote ile sitodhubutu kuiangalia hata kama atashuka malaika kuwa mtangazaji. Click to expand... Cha msingi kodi yako inatumika kuendesha Haina Shida Mkuu
Lipijema said: Hiyo idhaa kwa jinsi yeyote ile sitodhubutu kuiangalia hata kama atashuka malaika kuwa mtangazaji. Click to expand... Cha msingi kodi yako inatumika kuendesha Haina Shida Mkuu
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,374 May 16, 2018 #138 habari zao naona ninza kuisifia serikali tu
M masare JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 2,173 Reaction score 2,032 May 16, 2018 #139 Kwenye akaunti yake ya Facebook jina bado linasomeka Sam Mahela-Itv
Agenda1 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,692 Reaction score 3,419 May 16, 2018 #140 Sam anauelekea uteuzi..muda utasema!