Samahani naomba kukumbushwa Godwin Gindwe alitokea wapi vile kupata U-DC?Mnasemaje kapotea? Huenda kaahidiwa donge nono na longer term contract. Pia kule yupo karibu kabisa na uDC. Sometimes kuna watu wanaweka fame pembeni na kujiangalia future yao.
Kabla sijachangia naomba CV yako!Unatoka FEZA school unaenda kufundisha Tandahimba Kayumba school eti kisa ni ajira ya uhakika !
Good but illogical example...Shule na Media Industry ni vitu viwili tofauti. Kuna faida kuwa mwalimu wa FEZA bila mshahara au mazingira mabovu ya kazi? Ajira ya Uhakika inakupa Amani ya Moyo na Utulivu wa Akili wa Kufanya mambo makubwa zaidi.Still namsapoti kwa maamuzi yake.Unatoka FEZA school unaenda kufundisha Tandahimba Kayumba school eti kisa ni ajira ya uhakika !
Umeona eeee mpaka kwenye kaz za watu binafsi mnaingiza siasa?chadema mmepotea njia kwa kwelAcheni unafki Kila mtu anapofanya kazi anaangalia Maslahi yake binafsi pengine Huko Itv hakuwa na mkataba Wa kudumu. Watu mshaingiza siasa duh.......
Sasa Buholela alitokea TBC kwenda ikulu au kutoka huko huko ITV?Muacheni Jamaa Anatafuta Shavu Ikulu!.....Buhohela Si Yupo Huko Nowdays
ITV/Radio OneSamahani naomba kukumbushwa Godwin Gindwe alitokea wapi vile kupata U-DC?
Umeona eeee mpaka kwenye kaz za watu binafsi mnaingiza siasa?chadema mmepotea njia kwa kwel
Na tetesi zinasema huko alikotoka wafanyakazi wanakaa hadi miaka saba bila ya kuajiriwa!Acheni unafki Kila mtu anapofanya kazi anaangalia Maslahi yake binafsi pengine Huko Itv hakuwa na mkataba Wa kudumu. Watu mshaingiza siasa duh.......
Huwa linawafitini wenzake mpaka wanakimbia!!Lina shida gani hilo mkuu?😀😀
Kapotezaje !!!!au ndo unafiki huu sasaLeo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1
Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
Kuna mijitu ina akili za ndezi mnoAcheni unafki Kila mtu anapofanya kazi anaangalia Maslahi yake binafsi pengine Huko Itv hakuwa na mkataba Wa kudumu. Watu mshaingiza siasa duh.......
Wee njaa huna?Njaa
Wee njaa huna?
Sikukuelewa vyemaSi ndio maana nimesema njaa ndio inatufanya turuke ruke au basi nisemeje ?
Samahani mkuu, wewe ni Mwanaume.???Kazi afanye yeye povu tutoke sisi, inahuu,
Maisha hayana kanuni labda kwa mchawi tuUnatoka FEZA school unaenda kufundisha Tandahimba Kayumba school eti kisa ni ajira ya uhakika !