Kuna Dada Namfahamu yupo hapo Itv anatangazaga habari usiku saa Mbili, Ukimuona Kwenye TV unaweza dhani analipwa pesa ndefu lakini anaishi tabata vyumba viwili, madeni Kila kona yamemuandama watu Haya hawayafahamu. Itv wanatengeneza waandishi maskini wenye Majina makubwa. Bora Hata clouds FM.Kwa mtu ambaye ameshafanya kazi media za Bongo sidhani kama anaweza mlaumu Sam kama unavyofanya wewe.Licha ya kuwa ni mtangazaji Mahela pia ni baba wa familia.Maisha ya Media Tanzania yanajulikna...mfano ile TV ya kanda ya ziwa unaweza ukakaa miezi 5 hujalipwa,sasa ukiitwa TBC ambako mshahara 95% ni uhakika unaanzaje kukataa?
Kana DIMPOZ teh...tehe....tehee...!!πππMkuu umekataja ka Vumilia Mwasha, kana ka sauti fulani hivi sijui kakoje vile,, nakapendaaaaa!
ITV mishahara mbuziYeye na Ofoo Saro wote waliondoka ITV
thats true,sekta binafsi wachenΓ― kabisa,hazifaiKaenda kwenye maslahi, ajira ya kueleweka sio kwenye chanel za kukaa kibarua miaka 10+
Ndo ukweli wa mamboKabisa Mkuu na wengi wenye Akili hiyo ni vijana ambao bado wanalishwa kwao Au anasubir bum litoke afanyie nalo Laana bado Hawajajua maisha vizuri. Km mtu Unayejitafutia ugali wako mwenyewe huwezi mshangaa jamaa Kwa maamuzi aliyoyachukua. Bora mtu usiwe maarufu lakini bank balance inasoma kuliko umaarufu njaa ambao watanzania wengi ndio wanao.
Kumbe Ufoo Saro alishasepa ITV? Ndio maana hasikiki siku hizi.Yeye na Ofoo Saro wote waliondoka ITV
Farhia middleKuna Dada Namfahamu yupo hapo Itv anatangazaga habari usiku saa Mbili, Ukimuona Kwenye TV unaweza dhani analipwa pesa ndefu lakini anaishi tabata vyumba viwili, madeni Kila kona yamemuandama watu Haya hawayafahamu. Itv wanatengeneza waandishi maskini wenye Majina makubwa. Bora Hata clouds FM.
Wewe ni nani katika Taifa hili mpaka usipofungua hiyo chaneli kuathiri maisha ya Sam Mahela au wengine!?Bora angeenda Azam au hata star Tv huko alipoenda naweza pita miaka 2 sijafungua hiyo channel sababu vipindi vinaboa taarifa zao picha sio clear yaani ni yakizee haswaaa mara ya mwisho kuangalia Tbc kipindi cha chereko kilipokuwa hot mtangazaji sijui glory nani alivyotoka yule mtangazaji nikapotea na mie Sam hukuona nafasi hata Efm au TV1 kweliiii au ungeenda hata sibuka tv
Hiviiii......naye alitokea TV gani vileeee?Muacheni Jamaa Anatafuta Shavu Ikulu!.....Buhohela Si Yupo Huko Nowdays
Kumpata kilichompata Tido Mhando!TBC1 hawalipi mishahara? Au kupotea kupi?
Jamaa Alitoka ITV Moja Kwa Moja!Baada Ya Kupiga Sana kampeni 2015Hiviiii......naye alitokea TV gani vileeee?
saro yuko wapi?Yeye na Ofoo Saro wote waliondoka ITV
zakaria ana nn?Atalikuta li Gabriel Zakaria huko cha moto atakiona, aende amwulize Barwaan Muhuza!!
Lina shida gani hilo mkuu?ππAtalikuta li Gabriel Zakaria huko cha moto atakiona, aende amwulize Barwaan Muhuza!!
Huko ndio kwenyewe kama hujui. Kuna improvement kubwa sana. Sam Mahela baba Piga kazi. Uzalendo kwanza. afi sana. Kuna watu wamekalia kuangalia Vyombo binafsi wakipitwa na fursa wanakuja kulalamikia Serekali! Sam Mahela hapa una nafasi ya kuendelea sio vyombo binfsi mtu unakuwa kwenye hiko cheo miaka nenda rudi! Kama nasema uongo nina kidhibiti chja chombo fulani muwakilishi wake tangu nimfahamu yuko hapohapo miaka nenda rudi nilimfahamu 1998- sasa sina uhakika alianza kutangazia chombo hicho lini. Sam usiwe na wasiwasi!Sasa huyu nae kafuata nini huko?