Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Yupo tbc kijana, unafanya mchezo Ana andaliwa kuwa diwani kama sio mkuu Wa mkoa
 
kwamba jamaa ni "chakla"
 
Sijui umeeleza nini Gentamycine!
 
Du
 
Ina maana jamaa ni naniiii??
Yani sitaki kuamini
.mjini kuna mambo
 
Sijui umeeleza nini Gentamycine!

Na Mimi nia yangu wachache na tena wenye akili kubwa za kuelewa Mafumbo yangu wanielewe halafu wale ' Wapuuzi ' wasijue kabisa nimemaanisha nini. Pole sana kwa kutonielewa na lengo langu Mama limetimia.
 
Na Mimi nia yangu wachache na tena wenye akili kubwa za kuelewa Mafumbo yangu wanielewe halafu wale ' Wapuuzi ' wasijue kabisa nimemaanisha nini. Pole sana kwa kutonielewa na lengo langu Mama limetimia.
Kwaiyo jamaa amekuwa kama mjumbe wa kamati ya utendaji pale msimbazi?
 
Alipokuwa ITV /Radio One hatukisikia hizo pumba zako,kaenda TBC unaleta umbeya,kwani Mahela hana haki ya kuhama kazi kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine?au ITV/Radio One ni kituo cha baba yake,kila mtu ana mipango yake na maisha yake,mtu mzima unakuwa mbeya kama demu wa Uswazi,hata wewe unaweza kuhama kazi kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kuangalia maslahi yako binafsi,maisha ni mapambano na kutafuta.
 
Hahahah uyo uyo mkuu.

Anatuaibisha pale msimbazi

Namjua nje ndani tangia tukisoma wote Shighatini Upareni Mwanga Mkoani Kilimanjaro ( in early 90's ) japo nilisoma nae tu hapo miaka miwili ya Form One na Two nikahama. Pia nimecheza nae sana mpira katika Ngazi ya UMISSETA na Ligi zile za Vijana ( Yosso ) za Dar es Salaam Kipindi kile hasa nikiwa nakaa Ilala Shariff Shamba na Yeye akiwa anakaa katika zile ' Kota ' za NHC pale Fire huku akiwa jirani kabisa na Ghorofa alilokuwa akiishi Katibu Mkuu wa sasa wa Yanga SC, Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Mwalimu wa mpira Charles Boniface Mkwasa ' Master '. Jamaa ni Yanga SC lia lia kabisa nashangaa sana leo kumuona akiwa kama Mjumbe wa Kamati ya Simba SC halafu akiaminika vilivyo. Kuna Jamaa yetu mmoja yupo TBL pale Ilala jina lake nalihifadhi ila ' initials ' zake ni PM ( sasa hivi ni Bosi hapo nadhani upande wa Sales ) nadhani hata Yeye anavyomuona huyo Jamaa akijifanya ni mwana Simba Sports Club mwenzetu anashangaa na kushikwa sana na butwaa!
 

Your STUPIDITY is APPROVED.
 
Duh!! Kuna kipindi alikuwa na leseni wa uwakala wa kuuza wachezaji au ilikuwa propaganda tu au kule akulipi zaidi kama ujumbe wa kamati ya utendaji?
 
Duh!! Kuna kipindi alikuwa na leseni wa uwakala wa kuuza wachezaji au ilikuwa propaganda tu au kule akulipi zaidi kama ujumbe wa kamati ya utendaji?

Mpaka leo ni Wakala tena mkubwa tu na anayetambuliwa na FIFA Mkuu. Jamaa ni mjanja mjanja na Mtoto wa mjini sana. Kala sana Pesa za Manji miaka mitatu iliyopita ambapo Simba SC tumeshafanya vibaya sana huku akishirikiana na Kiongozi mmoja Mkuu wa Simba SC mwenye jina la ' Tabaka ' fulani la Wazungu la Afrika ya Kusini ambalo liliwatesa mno Waafrika huko na hasa hasa Hayati Mzee Mandela.

Wawili hawa ndiyo walikuwa wakimuuzia Manji na yule wa TFF Ramani zote za Vita za Simba SC hadi kupelekea Simba SC kuteseka mno katika hiyo miaka na Mwenyezi Mungu akasikia Kilio chetu ambapo yule yule Nyoka aliyekuwemo ndani ya Simba SC yakamkumba ya kumkumba na huku tena na yule wa TFF nae yamemkuta huku Simba SC yetu sasa ikichanja tu mbuga kimafanikio. Amini usiamini Wawili wote hawa ni wana Yanga SC wa Kufa Mtu ila wana Simba SC wengi hawajui.
 
unamaanisha bwana side????hivi ndo yeye alijifanya kapigwa ambush zikaibiwa milioni 12 za simba sinza au ni mwingine? mtu kajifanya eti kavamiwa na wazee wa hapa kazi tu 12 millions za team zikaondoka kijiinga halafu watu hadi leo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…