CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Waka kwa msigwa hakuwa biased alikuwa neutral. Mahojiano hutegemea na Mgeni sasa Msigwa pamoja na kuwa Chama Chake kinamuona Kichwa lakini ..... malizia mwenyewe pamoja na Mbatia. Vichwa CHADEMA ni Mnyika na Dr. Slaa.
Duuuh mazuzu nchi hii hayataisha,Waka kwa msigwa hakuwa biased alikuwa neutral. Mahojiano hutegemea na Mgeni sasa Msigwa pamoja na kuwa Chama Chake kinamuona Kichwa lakini ..... malizia mwenyewe pamoja na Mbatia. Vichwa CHADEMA ni Mnyika na Dr. Slaa.
ingekuwa hakuna wa ndiooo, basi siku ile lowassa asingpita bila kupingwa! yaan within a week tayari kishakuwa mgombea, sidhani kama wangekubali kirahisirahisi ila walikubali kwa kuwa mwenyekiti kishaamuaHakuna mtu wa ndiooooooo chadema
Sam mahela humudu kipindi hicho kila leo sema wewe huwa hupendi kusikia ukweli bali unapenda kusikia yanayo kufurahisha!Leo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
Ukuu wa wilaya kaukosa!!!Leo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
Sam mahela humudu kipindi hicho kila leo sema wewe huwa hupendi kusikia ukweli bali unapenda kusikia yanayo kufurahisha!
Sasa wewe ndio Zuzu hata somo La History ya Chama Chako huigahamu!Duuuh mazuzu nchi hii hayataisha,
Yan Dr. Slaa naye yupo cdm, hizi elimuza mwendokasi kazi kwelikweli
Yaani jamaa sijui kama huwa anaangalia tena vipindi na kujiona anavyoendesha vipindi vyake, nimemdharau sanaSam anajuhudi sana ila Mwenyezimungu Kampa Mtihani wa akili kiduchu za kumudu mjadala
kunasiku walimchana live huko fb naona amejirekebishaLeo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
Atapewa ukuu wa wilaya ktk teuzi zijazo.