Sam Mahela leo dakika 45 umeshindwa kabisa kuongoza kipindi

Sam Mahela leo dakika 45 umeshindwa kabisa kuongoza kipindi

Emmanuel Buhohela ndio alikuwa anaongoza vizuri hicho kipindi.!
 
Mchungaji hakuna alichoongea zaidi ya kupinga na kuona wivu wa serikali . Sam mahela yuko vizuri sana awez ruhusu upotoshaji. Big up Sam .
nimemshangaa sana msigwa kubeza uwepo wa majeshi yetu DRC! yaani hajui manufaa ya jeshi letu kuwepo DRC kweli? au aliamua kujitoa ufahamu! basi kama hajui nchi hii tunawabunge wa ajabu sana.
 
Sam Mahela leo umechemsha vibaya mno kwenye interview na Mchungaji Msigwa. Ulikuwa kama umejialika studio, umetumia muda mwingi kumbana host asifunguke.

Kama proffession journalist ulifanya makosa kuandaa maswali ambayo ulimbana sana host asiyajibu. Interview imekuwa bias mno, inashauliwa umuache source afunguke sio kama ulivyofanya.

Next time usimuite mtu ambaye unambanabana otherwise kipindi apewe mwingine.

Huyo mahela, kanjanja kweli kweli. Anacheka cheka hovyo, anamtetea Magufuli, anamuingilia mzungumzaji unnecessarily....yaani ilikua vurugu mechi tupu wkt kimsingi Msigwa alikua anaflow vzr sana!
 
Kwenden uko wanafiki nyie kazi kuponda watangazaj tu wakat nyie mnawasema,wao wanapata mishahara nyie mnabaki mkibwaja tu km tunguli za wachawi
 
Hiki kipindi kilitakiwa kipate presenter aina ya STEPHEN JOHN SACKUR wa BBC hardtalk.Hawa waliopo wanakiendesha chini ya kiwango,hiki kinatakiwa kuwa kipindi cha kuongelea serious issues kinyume na inavyofanyika sasa hivi.
 
Tatizo la ukawa wanataka kusikia kile ambacho wanapenda wao tu kukisikia
Anzisheni tv yenu
 
Sam Mahela leo umechemsha vibaya mno kwenye interview na Mchungaji Msigwa. Ulikuwa kama umejialika studio, umetumia muda mwingi kumbana host asifunguke.

Kama proffession journalist ulifanya makosa kuandaa maswali ambayo ulimbana sana host asiyajibu. Interview imekuwa bias mno, inashauliwa umuache source afunguke sio kama ulivyofanya.

Next time usimuite mtu ambaye unambanabana otherwise kipindi apewe mwingine.

Hata mimi alinishangaza sana! Hii si kawaida yake - lakini kwa mahojiano na Mh.Msigwa nimeona kuna mambo fulani alikuwa hataki ayaseme - sasa alimkaribisha Mh.Msigwa studio akiwa na lengo gani - mbona viongozi wa chama tawala wakija kwenye studio za ITV uzungumza freely bila ya kuwa interrupted unnecessarily.

Safari hii SAM ameonekana alipania kumbana bana Msigwa - a proffessional journalist kama SAM hapashwi kuwa mwoga au kuogopa lawama hicho ndicho nilicho kiona kwenye mahojiano yake na Msigwa - SAM was visibly jumpy!!

Watanzania wana uwezo mkubwa wa kutambua kama wanao karibishwa kwenye Studio kwa mahojiano ni wakweli au wababaishaji, hivyo SAM hana sababu yakuwa na wasi wasi kwamba labda jamaa akijibu ndiyo sivyo hiyo inaweza kumwingiza matatani yeye kama host wa kipindi, cha muhimu hapa muhusika aonywe mapema kwamba hasitukane watu au kutumia lugha hisiyo ya kistaarabu wakati wa mahojiano basi.
 
Fafanua jinsi Mahela alivyokuwa biased pasipo kuepuka mazingatio ya sheria, maadili na weledi katika tasnia ya habari?
alipokuwa akiuliza alitaka majibu kutoka kichwani mwake ndo yajibiwe.alikuwa akimuingilia source kila alipojaribu kumjibu.maswali yake kabla ya kupata jibu alikuwa akiongeza swali jingine.journalist alidhindwa kabisa kuchukua mawazo ya source isipokuwa aligeuka yeye mwenyewe source kwa maana hiyo alitakiwa aje mwandishi awafanyie interview.ukimlinganisha na mtangazaji wa mada moto kuna tofauti kubwa sana na mahela ni vyema aige kutoka channel ten
 
nimemshangaa sana msigwa kubeza uwepo wa majeshi yetu DRC! yaani hajui manufaa ya jeshi letu kuwepo DRC kweli? au aliamua kujitoa ufahamu! basi kama hajui nchi hii tunawabunge wa ajabu sana.
swali lilikuwa usuluhishi sio ulinzi wa amani jua kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom