Sam Mahela leo dakika 45 umeshindwa kabisa kuongoza kipindi

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
956
Sam Mahela leo umechemsha vibaya mno kwenye interview na Mchungaji Msigwa. Ulikuwa kama umejialika studio, umetumia muda mwingi kumbana host asifunguke.

Kama proffession journalist ulifanya makosa kuandaa maswali ambayo ulimbana sana host asiyajibu. Interview imekuwa bias mno, inashauliwa umuache source afunguke sio kama ulivyofanya.

Next time usimuite mtu ambaye unambanabana otherwise kipindi apewe mwingine.

Nimekua nikifuatilia kipindi hiki kinachorishwa na ITV maarufu Dakika 45. Huyu jamaa Sam Mahela wakati akifanya mahojiano na mwaalikwa asilimia 50% mzungumzaji ni Sam Mahela mwenyewe.

Katika maadili ya habari, hurubusiwi kutoa maoni yako hasa wakati wa kufanya mahojiano (un-opinionated). Huyu Mahela akiguswa tu Mfano Magufuli, utamsikia akimtetea kwa nguvu zote eti huyu Rais kaleta mabadiliko makubwa sana na mm nimefanya utafiti mikoa saba Tanzania na kwamba magufuli anakubalika.

Mfano katika kipindi cha leo akihojiana na Msigwa, huyu Mahela, alizungumza zaidi kuliko mualikwa, alijibizana nae kana kwamba yeye ni msemaji wa CCM au wa serikali ya Magufuli. Alimhakikishia kuwa Magufuli anakubalika sana na yeye alifanya tafiti na viongozi wa dini na vyama vya siasa vinamkubali. Pathetic.

Alienda mbali zaidi kwamba kila alichokua anasema Msigwa yeye humjibu "Wasema wewe, Mimi sijasema"! Sasa najiuliza huyu KANJANJA vipi, ama ni wakala wa CCM ndani ya DK 45 au anamfurahisha mfalme....

Wadau mtakumbuka aliekua anaendesha kipindi hiki huko nyuma ni Buhohela, na kwasasa amepata ugali wake (kazi) magogoni (Ikulu). Huyu Mahela naona nae amepatamani huko na sharti amfurahishe mfalme!

Huo ni Ukanjanja na njaa Kali...Aibu! Shame on you MAHELA.
 
Yap nimeona, hataki kabisa kuzungumza jambo lolote baya la baba jesca
 
Leo kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwepo waziri kivuli wa mambo ya nje Mh. Mchungaji Msigwa na amezungumza mengi na mazito, ingefaa basi wiki ijayo mumwalike Dr. Mahiga ili ayatolee ufafanuzi yale msigwa aliyodai hapo mtakuwa mumetutendea haki watizamanji wenu.
 
Kama ilivyo ada itv kila siku ya jumatatu huwa kuna kuwa na kipindi cha Dak45. Sam mahela leo alikua amemwalika mh. Msigwa, Waziri kivuli wa mambo ya nje. Sam mahela anapwaya sana, kwanza anacheka cheka hovyo pasipo na tija.
 
sam mahela leo umechemsha vibaya mno kwenye interview na mchungaji msigwa.ulikuwa kama umejialika studio.umetumia muda mwingi kumbana host asifunguke.kama proffession journalist ulifanya makosa kuandaa maswali ambayo ulimbana sana host asiyajibu.interview imekuwa bias mno.inashauliwa umuache source afunguke sio kama ulivyofanya.next time usimuite mtu ambaye unambanabana otherwise kipindi apewe mwingine.
Fafanua jinsi Mahela alivyokuwa biased pasipo kuepuka mazingatio ya sheria, maadili na weledi katika tasnia ya habari?
 
Leo kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwepo waziri kivuli wa mambo ya nje Mh. Mchungaji Msigwa na amezungumza mengi na mazito, ingefaa basi wiki ijayo mumwalike Dr. Mahiga ili ayatolee ufafanuzi yale msigwa aliyodai hapo mtakuwa mumetutendea haki watizamanji wenu.
Mahiga ataongea bungeni
 
Mkuu dr mahiga Ni nguli na mwanadiplomasia baada ya Dr salim , huyu ana exposure kubwa juu ya dunia hii na uelewa wa mambo

Huna haja ya kulinganisha na huyo mfunga toilet paper mdomoni
 
Hahahaa UKAWA jaman wanatia huruma...sasa Msigwaa ameongea nini leo...eti waziri kivuli cha nini sijui aha!!! Kazi ipo..

Tunpigie magoti Dr. Slaa arudi anyooshe chana...hamna jinsi.
 
Nimekua nikifuatilia kipindi hiki kinachorishwa na ITV maarufu Dakika 45. Huyu jamaa Sam Mahela wakati akifanya mahojiano na mwaalikwa asilimia 50% mzungumzaji ni Sam Mahela mwenyewe.

Katika maadili ya habari, hurubusiwi kutoa maoni yako hasa wakati wa kufanya mahojiano (un-opinionated). Huyu Mahela akiguswa tu Mfano Magufuli, utamsikia akimtetea kwa nguvu zote eti huyu Rais kaleta mabadiliko makubwa sana na mm nimefanya utafiti mikoa saba Tanzania na kwamba magufuli anakubalika.

Mfano katika kipindi cha leo akihojiana na Msigwa, huyu Mahela, alizungumza zaidi kuliko mualikwa, alijibizana nae kana kwamba yeye ni msemaji wa CCM au wa serikali ya Magufuli. Alimhakikishia kuwa Magufuli anakubalika sana na yeye alifanya tafiti na viongozi wa dini na vyama vya siasa vinamkubali. Pathetic.

Alienda mbali zaidi kwamba kila alichokua anasema Msigwa yeye humjibu "Wasema wewe, Mimi sijasema"! Sasa najiuliza huyu KANJANJA vipi, ama ni wakala wa CCM ndani ya DK 45 au anamfurahisha mfalme....

Wadau mtakumbuka aliekua anaendesha kipindi hiki huko nyuma ni Buhohela, na kwasasa amepata ugali wake (kazi) magogoni (Ikulu). Huyu Mahela naona nae amepatamani huko na sharti amfurahishe mfalme!

Huo ni Ukanjanja na njaa Kali...Aibu! Shame on you MAHELA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom